Aliekwambia nani kuna mke online??? We angalia maeneo unapopenda kutembelea mke yumo uko uko,kama club pata uko uko kama msikitini mashallaaahh yumo ibadani saivi....
Kama biashara unafanya angalia wateja wako lazma kuna mke apo..
mke huwa haolewi, tafuta mwanamke wa kuoaHabari Mm Ni Mwanaume Natafuta Mke Wa Kuoa Umr 24mpk 31,awe hajawah kuzaa wala kuolewa,awe mweupe.mimi na miaka 30 elimu yangu ni kidato cha sita naishi pwan.karibu kama upo serious na ombi langu