Mwanamke mkimya msiri wa sirini anahitajika haraka

Mwanamke mkimya msiri wa sirini anahitajika haraka

Mi mkimya na msiri ila utaniweza kwa mambo nayo yafanya kisircr bila ya wewe kujua?
 
Moja kati ya sababu zinazofanya wanawake waishi maisha marefu kuliko wanaume ni kutokuweka mambo sirisiri. Hiyo sifa sijui utaifanyiaje interview
 
Akuwekee siri wewe ni jambazi la silaha au nini mkuu?? Wanawake wengie hawana siri kabisa, ni wachache unakutana nao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom