Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
945
Jamani natafuta mpenzi atakaye kuwa tayari na kukubaliana na hali yangu i mran life style mimi ni mnywaji ila si mlevi sana sio tuwe wote uanze ooohh bby acha kunywa.

Mimi sitakuelewa pia kama atapatika awe naye ni mnywaji au mvuta sigara napenda sana mpenzi mnywaji au awe anavuta hata bangi napenda.

Aliye tayari ani PM nitamtunza na kumthamini
 
Haya jitoezeni sasa! cyo muanze kwenda kwa waganga eti kutafuta LIMBWATA!!
 
kwa hilo jina lako atakayekuja hana akili
 
MM nimekuwa wazi asijee baadaee anaanza kunishauri kama tupo angazaaaa alafu akubali kuwa na mm tu mengine yatafuata
 
hahaha next time utumie akili usi2mie kiroba
 
Nina rafiki yangu anatumia madawa ya kulevya je uko tayari nikuunganishie?
 
Nina rafiki yangu anatumia madawa ya kulevya je uko tayari nikuunganishie?

Big NOOOOO wa madawa sitaki nataka mnywaji au asiwe mnywaji ila anikubali labda anaweza nishape nikaachaaa ila wa madawaaa sitakiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom