Nataka msichana hapa hapa

Nataka msichana hapa hapa

KAOROGOMA

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2015
Posts
529
Reaction score
904
MI ni kijana mkazi wa Dar, niko bachelor, nina elimu ya Chuo Kikuu nilimaliza 2013, nina twenty six years nilipomaliza nikaajiliwa na Serikali hazina mpaka sasa.

Ninatamani kumpata mrembo hapa, sifa awe mnene wastani hapa wembamba na wafupi sana hawana nafasi, awe mrembo i mean cute, awe mwenye uelewa juu ya maisha yetu Tanzania,awe mwenye hips za kutosha na umbo zuri.

Aliyetiyari ani inbox kama anaogopa kuweka wazi nina nia nzuri naye yakufikia pazuri
 
Mungu tupende kamwe usituache. Pamoja na binadam kuwa na akili za ajabu lakin Mungu bado nakutegemea.
 
Hizo sifa mnazotaka na nyie mnaridhisha? Manake watu kwa vigezo tuu hawajambo
 
Vigezo nilivyotaja nimezingatia na muonekano wangu am tall handsome not white nor black not fat nor thin am neutral hivo pesa ninayo ya kutosha mi siyo maskini nimejenga nyumba moja kibada nina kampuni binafsi mbali na kuajiriwa hazina nina kausafiri japo ni nissan lakini kanatosha kumridhisha asikanyagane kwenye daladala au kuvunjwa miguu na bodaboda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom