Natafuta mchumba/mke

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
Awe na sifa zifuatazo;

1. Awe Mtanzania

2. Elimu at least form six na kuendelea(iwe rahisi kumuendeleza)

3. Umri miaka 23 hadi 28

4. Awe mcha Mungu

5. Asiwe mwembamba sana, asiwe mnene sana, awe wa wastani.

6. Rangi ya ngozi yeyote tu, lakini isiwe imeeditiwa.

Sifa Zangu;

1. Ni mtanzania

2. Elimu yangu ni degree moja master in progress

3. Miaka yangu ni kati ya 27 na 30

4.Ni mrefu 5.8 feets around 180cm

5. Sio mnene,sio mwembamba nipo kati hapo.

6. Maji ya kunde.

7.Ni muajiriwa wa kampuni moja kubwa ya madini hapa Tanzania...na nina kampuni yangu changa imeanza hivi karibuni...

8.A true gentleman..

Mengine utaendelea kufahamishana...kwa atakayekuwa interested...

Kwa wale mdada yeyote aliyeko tayari NIPM tafadhali...ili tupeane mawasiliano nk..

Regards,

TM



Update...(17,July 2015 at 10:45 am)

Nashukuru kwa wote mlioniPM.

nimepokea PM nyingi Sana Sana..na nimewasiliana nanyi wote mlioonyesha interest,ILA kazima nifanye uamuzi na kuwa

na mmoja Tu...na nadhani nimefanya uamuzi tayari...kwangu Mimi hii Ni njia sahihi kabisa na naamini itayatimiza malengo yangu kama nilivyotarajia...wengi wameniuliza kwann nimeamua kutumia mtandao kutafuta mchumba..ila niwaambie Tu haijalishi unatumia nini...dhamira yako ndo kila kitu,.,na haya Ni moja Kati ya matumizi mazuri ya social networks..kuna watu wanakutana clubs,pubs,bar,na wanaoana....itakuwa hapa JF?

Ahsanteni na naomba nisipate PM zaidi kwani hazitafanyiwa kazi kabisa.

MUNGU awe pamoja nanyi.


The Magnificent.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom