mjerumaniwapahi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2014
- 378
- 270
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ndo ilivyo;
* Mimi ni kijana wa miaka kati ya 30 na 25 ; ni mwenyeji wa kanda ya kaskazini
* Pia ni mwajiriwa katika taasisi flani
* Nina diploma ya ualimu
Mchumba ninae mhitaji ni vizuri awe na miaka kati ya 20 mpaka 23
- Awe muislam na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
- Kabila yoyote ile pia wa rangi yoyote
Kama utakua tayar ni PM kisha tupeane mawasiliano mengine kama namba za Simu
Tafadhali usiwe msumbufu kama huna la maana