Mke aliopo Kagera au Mwanza anatafutwa

will hazard

New Member
Sep 3, 2017
4
2
Kichwa cha habari kinajieleza,

Mimi ni mwanaume wa miaka 29, mtumishi, mrefu cm 185, mwili wa kawaida.

Msichana awe mweupe, au maji ya kunde, elimu kidato cha nne na kuendelea, mfanya kazi au biashara umri 20_30.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka yake: 29
Urefu wake : mfupi
Wanawake wa hiyo mikoa taja changamkieni fursa hiyo .

To accomplish much you must first lose everything..
 
Huwa najiulizaga, kuna mwanamke kaweka uzi kwa nini mwanaume anayehitaji mke hamfuati???? Nae anaweka uzi wake akija na mwanamke pia anaweka uzi.... Jaribuni kusoma nyuzi humu unaweza mkuta wa ubavu humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom