Natafuta mwenza/mke mwenye miaka kuanzia 30-45

IHOLOMELA

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,807
1,673
Mie ni Mzee wa miaka 40 nimeoa na kuacha mara mbili kutokana na kuto-match. Nimekaa singo miaka miwili sasa bila mwenza.

Nimechoka kujipikia, kufua na kupiga pasi. Nahtaji mwenza kuanzia miaka 30-45.

Vigezo:
1. Awe na elimu isiyozidi kidato cha nne, maana hawa walioenda vidato ndo nimeshindwana nao siwataki tena.
2. Awe mahiri katika upishi na usafi. Kwenye mapishi nataka ugali mgumu wa kisukuma sio uji uji wa kidaslamu
3. Awe na 'chura' sitaki vipotabo nataka figa la kiafrika.
4. Asiwe muongeaji saana.

Kama uko tayari nicheki kwa PM
 
Kila la kheri....

Mungu ni mwema atakupatia hitaji lako
 
IMG-20170218-WA0002.jpg
 
Mie ni Mzee wa miaka 40 nimeoa na kuacha mara mbili kutokana na kuto-match. Nimekaa singo miaka miwili sasa bila mwenza.

Nimechoka kujipikia, kufua na kupiga pasi. Nahtaji mwenza kuanzia miaka 30-45.

Vigezo:
1. Awe na elimu isiyozidi kidato cha nne, maana hawa walioenda vidato ndo nimeshindwana nao siwataki tena.
2. Awe mahiri katika upishi na usafi. Kwenye mapishi nataka ugali mgumu wa kisukuma sio uji uji wa kidaslamu
3. Awe na 'chura' sitaki vipotabo nataka figa la kiafrika.
4. Asiwe muongeaji saana.

Kama uko tayari nicheki kwa PM
Mkuu miaka 40 sio mzee ni mtu mzima sahihisha hapo! Kuanzia 60 Ndio mzee!
 
Unatafuta mke au msaidizi wa kazi za ndani ?!
maisha kusaidiana. Ndo maana nikataka mwenye elimu isiyozidi kidato cha nne kwa kuwa nataka mke wa kulea familia kwa mila za kiafrika. Nyie wasomi ndo maana ndoa hazidumu, sasa mie niende kazini ww ukae tu ndani kuangalia kideo eeh?. Najua ntampata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom