Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni mwanaume rijali kabisa natafuta mwenza wa maisha alie tayari kuishi maisha ya ndoa na familia natokea kusini mbeya, umri wangu 28 years elim degree, kazi biashara.... Akitokea kusini...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Natafuta rafiki wa ukweli, ambaye tutakuwa tunabadilishana mawazo, karibu
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 ninaishi Dar, mweusi mrefu mwenye mwili kidogo natafuta mpenzi mwanamke mzuri anaye ishi Dar ambaye yuko serious anatafuta mpenzi kama mimi,mwenye kazi pia mwenye umri...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi huchukulia mitandao kama pori ambalo lina kila aina ya wanyama, wakuliwa, wasio wa kuliwa na wanyama hatari. Ubaya Zaidi hizo namba mnazoweka humu mitandaoni huwa hazifutiki kwani hubaki...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Natafuta mchumba ,Masharti rahisi tu 1;umri kuanzia 22 mpka 26 2;Asiwe na Mtoto 3;Asiwe mfupi 4:kutoka mkoa wowote ule Tanzania bara na visiwani
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa majiana naitwa Elnest tesha, namiaka 33 natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayar kufunga ndoa na Mimi .. sifa, awe mcha mungu, dini yoyote, awe na bachelor degree, masters, au PhD ikiwa computer...
0 Reactions
112 Replies
8K Views
Nimechoka na upweke. Natafuta mwanaume aliye serious kabisa kujenga maisha. Sifa zake; Mrefu Awe anajishughulisha na kazi yeyote halali Asiwe Muhaya Elimu kuanzia la saba Sifa zangu; Mimi ni...
3 Reactions
82 Replies
10K Views
Sifa ya kwanza awe muajiliwa au kajiajiri Sifa ya pili awe tayari na miaka kuanzia 25 mpaka 35, Asiwe na zaidi ya mtoto moja Sichagui dini wala kabila Awe mzuri wa wastani na mnene kiasi na wowo...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari jf natafuta Mke wa kuoa alie Na sifa zifuatazo 1. Ajue kusoma na kuandika 2.awe na heshima 3. Mweupe ama Maji ya kunde 4. Asiwe mfupi sana wala mnene sana 5.umri miaka 18-26 .karibuni PM...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
JF
Toka niingie jamii forums hakuna ata mtu alokuja PM kunsalimia.... Haya basi njooni japo munitukane[emoji1] [emoji1] [emoji1]
0 Reactions
13 Replies
975 Views
Nahitaji mwanamke wa kumuoa, Sifa kuu awe Wife material, mwalimu wa shule ya msingi Sifa ndogo ndogo: 1. Mweupe (natural) 2. Awe tayari kuwa mkristo 3. Awe chini ya miaka 26 Mimi ni mwanafunzi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
NAwasalim wandugu. Mimi kwa sasa niko musoma natafuta marafiki walio musoma tufahamiane. Mimi ni mwanaume umri miaka 25 ni mwajiriwa serikalini. Nitafute pm au kwa e mail jerryrobson55@gmail.com
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa Mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwa hili,natafta mchumba na baadaye aje kuwa mam wa watot Wang km mung akipenda, SIFA 1.umri kuanzia mwaka 24 mpaka 26 2.elimu form 4 mpaka university na awe...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wapi nitapata mpenzi wa kizungu wakuu?
2 Reactions
71 Replies
15K Views
Habari wanajamvi, Mimi ni mwanamke wa miaka 33, niko Arusha, Mkristo Mcha Mungu. Natafuta mume miaka 33 hata 36, awe Mkristo Mcha Mungu. Kujuana zaidi njoo PM.
3 Reactions
51 Replies
7K Views
Natafuta mpenzi nipo serious . Awe anapenda outings Awe anajitambua Apende wasichana wachangamfu awe anapenda kubadilika . Asiwe mrefu sana wasrani couse mimi ni wastani. Mwenye upendo Na...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Umri wangu 26 nahitaji mwanamke ambaye yupo tayari kuanzisha maisha, nipo serious, but umri usizidi 25, kuhusu sifa zangu ni PM tutaelezana vzr.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar zenu wakuu Takriban kwa mda mrefu sana nilikua naishi kiunafiki kabisa kufake relationship status yangu kwa sababu tofaut ambazo ni ziite kua ni za kijinga Nilikua napata tafakar kuhusu...
3 Reactions
3 Replies
839 Views
Mdada alie serious apitie post zangu jamani upweke unaumiza sana natafuta soul mate atae ridhia na hali yangu
1 Reactions
4 Replies
872 Views
Mimi ni kijana umri miaka 24, elimu ni digrii moja ya uchumi; Kazi ni mwajiriwa na mfanyabiashara. Ninaishi dar maeneo ya Morocco natafuta mwanamke anayejielewa kuhusu maisha/mtafutaji /life...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom