Natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili

Ubuntu trusty tahr

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
322
219
Habarin dada zangu wa mkoani na dsm natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili tuu kwa malipo ya tsh 10 M matunzo na huduma nyingine nitatoa mimi mwenyewe wakati wote..Awe na sifa zifuatazo

1)Mweupe na mwembamba kiasi

2)Mrefu

3)Mwenye nidham na awe na uwezo wa kufanya maamuzi na kutumia akili kwa usahihi.

4)Awe na elimu ya kuanzia shahada na kuendelea awe anajua kuongea kwa usahihi lugha ya kingereza na kifaransa

Kama kuna aliyeko tayari aje inbox

KINACHOJIRI SASA

Wakuu natumaini maendeleo yenu kiafya ni mazuri sana.Kwa kipindi kifupi cha wakati hatimaye nimempata mwanamke mwenye sifa nilizoorodhesha Hata hivyo ametaka dau lipande na kufikia 18M. Leo atafanyiwa usaili wa mambo mengine pamoja na usaili wa vipimo vya Afya ili kujiridhisha kuwa hana tatizo lolote.....Natumaini baada ya hapo kama akifaulu kwa kiwango ninachotaka tutaweza kuendelea na hatua inayofuatia.
 
Huwajui wanawake wa bongo wewe , Mil. 10 zako atapokea watoto atakuzalia na baada ya hapo atakung'ang'ania kama ngozi katika mwili
Akishindwa kwa Sangoma basi hata ikulu atakwenda peku ili aonekane ameonewa,kachanganyikiwa au kachizika,na bunge Zima + nchi italipuka kumtetea Muulize Sugu atakwambia
 
Habarin dada zangu wa mkoani na dsm natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili tuu kwa malipo ya tsh 10 M matunzo na huduma nyingine nitatoa mimi mwenyewe wakati wote..Awe na sifa zifuatazo
1)Mweupe na mwembamba kiasi
2)Mrefu
3)Mwenye nidham na awe na uwezo wa kufanya maamuzi na kutumia akili kwa usahihi.
4)Awe na elimu ya kuanzia shahada na kuendelea awe anajua kuongea kwa usahihi lugha ya kingereza na kifaransa

Kama kuna aliyeko tayari aje inbox

Kama shida yako ni watoto, peleka mbegu zako kwa wataalamu wanaziweka kwenye chupa baada ya muda unapata watoto wako, ifike wakati hawa akina dada wasitumike vibaya
 
Huwajui wanawake wa bongo wewe , Mil. 10 zako atapokea watoto atakuzalia na baada ya hapo atakung'ang'ania kama ngozi katika mwili
Akishindwa kwa Sangoma basi hata ikulu atakwenda peku ili aonekane ameonewa,kachanganyikiwa au kachizika,na bunge Zima + nchi italipuka kumtetea Muulize Sugu atakwambia
Si kasema wanaingia mkataba kabisa before?
Labda akimkatikia kiuno vizuri bas mkataba unaweza extended to permenent contract
 
Ha ha ha ha Kama utampata basi ujue huyo hana sifa moja katika sifa unazohitaji.
Awe na kuanzia Shahada anajua kifaransa na kiingereza kwa usahihi huyo mtu akikukubali wewe
kumzalia kwa 10 milion atakosa sifa hii -
Mwenye nidham na awe na uwezo wa kufanya maamuzi
na kutumia akili kwa usahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom