Habarini za muda wapendwa?
Kama Mungu alivyosema "si vyema mtu huyu akawa peke yake bali nitamfanyia msaidizi"
Natafuta mume mwenye hitaji la msaidizi (mke).
wasifu wangu:
umri: miaka 25
dini...
Habari za wakati huu...
Tunapoelekea kumalizia mwaka na kuanza mwaka mwingine pia naendelea kuwa kurudia kutangaza tenaaa kuwa natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 18 mpaka 25..
Elimu...
Wana JF, natumaini mko salama,
Kwa heshima zote, naandika from my heart. JF ni platform inayowakutanisha Watanzania wote, ni matumaini yangu kumpata ninayemtafuta kama jinsi nyinyi ambavyo...
Habarin dada zangu wa mkoani na dsm natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili tuu kwa malipo ya tsh 10 M matunzo na huduma nyingine nitatoa mimi mwenyewe wakati...
Jamani Mimi ni msichana Nina miaka 21 natafuta mpenzi ambae anakazi miaka 24_26 awe mrefu kawaida ,mweusi si mweus sana awe anaakili ya kimaisha ili tujenge mahusiano Mimi niko chuo mwaka wa pili...
Jamani nyie wenyewe mnajua maisha ya usingo yanavyochosha na umri nao unavosogea so mie nimeona sasa nitafute mke.
Kwanza kabisa mie umri ni VERY LATE TWENTY
Elimu yangu ni diploma ya sheria...
Habari zenu :
Kwa mara ya kwanza naandika Makala hii kumtafuta mdada anaejitambua ili tuweze kukaa chini na kujenga mahusiano mazur kwa misingi ya ndoa halal’ ninamiaka 31yrs ; naamini panapo...
Dini yoyote , nchi yoyote ile, asiwe mfupi,urefu wa wastani au mrefu zaidi, mzuri wa shape na sura,rangi yoyote, mwenye mawazo chanya,elimu walau darasa la saba, umri asizidi miaka 28
Juu yangu...
Jaman umr ukifka umefika natafta bint awe na umr kuanzia miaka 19-23 awe mcha mungu na awe na sifa zote za mwanamke anafaa kutuza family yake anicheck kwa no 0628239703 napatikana SIMIYU itapendeza
Kama kichwa kinavyojieleza wapendwa wangu nahitaji rafiki wa kike kwaajiri ya kushare mambo mbalimbali ya maisha awe na umri wa 25 or less than 25 na aliopo Dodoma.
Napenda sana rafiki...
Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe...
....salaam wana jukwaa:
....Lengo la uzi huu napenda kupata rafiki (best friend) diaspora.
....Rafiki huyu ninae tamani kukutana nae ningependa awe anaishi nje atleast kwa miaka kuanzia 4+...
Habari wana MMU. Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa uzima na afya tele aliyonipa.
Mimi ni kijana Nina miaka 28. Natafuta binti anayejiheshimu na ambaye yupo tayari kuolewa kwa sasa.
Dini...
Umri: awe kuanzia miaka 22 nakuendelea, asiwe na mtoto, asiwe mnene sana, rangi yoyote.
Dini: awe muislamu
Elimu: kuanzia kidato cha nne na kuendelea, Sio lazima awe anafanya kazi, Na akiwa ni...
Umri: awe kuanzia miaka 25 na kuendelea, na asiwe na mtoto, asiwe mnene sana, rangi yoyote.
Dini: awe muislamu kwakua mimi pia ni muislamu
Elimu: kuanzia kidato cha nne hadi chuo kikuu, Sio...
Habari zenu wadau,natafuta mchumba wa kike umri usiozidi 28,vigezo:mimi ni mrefu Mweusi kiasi flani Elimu:Form4 hadi chuo kikuu :Mengine tutamalizana PM
Karibuni Sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.