Kazi yangu inanilazimu kutafuta mke kupitia hapa JamiiForums

Gentleman P

JF-Expert Member
May 23, 2018
370
453
Wana JF, natumaini mko salama,

Kwa heshima zote, naandika from my heart. JF ni platform inayowakutanisha Watanzania wote, ni matumaini yangu kumpata ninayemtafuta kama jinsi nyinyi ambavyo mmepata kujifunza mengi kutoka kwenye thread zangu mbalimbali.

Kuanzia June inayoanza kesho, lengo langu kubwa na la pekee ni familia. Mimi ni mfanyakazi, mazingira ya kazi yananinyima muda wa ku-mingle out. I'm always scheduled, kwa wenye kazi kwenye corporate institutions mtanielewa, japo sio vitengo vyote watu huwa busy.

Naomba kama kuna mwanaJF au ana ndugu/rafiki yake mwenye hitaji kama langu, tuwasiliane. Naomba mfahamu andiko langu ni serious, na pengine kuliko kuni-flag out kama kawaida ya kizazi kipya cha JF, labda muache nafasi kwa mtu mmoja tu, maoni yenu yana yana nafasi kubwa ya kumvunja moyo au kumtia moyo ya kuwasiliana na mimi na hatimae akaitwa Mke wangu.

Niwe clear kwenye jambo moja: Mke wangu mtarajiwa naomba uwe Mkristo, una Diploma au Degree na unaishi Dar es Salaam.

Mambo kama umri, rangi, kabila n.k. ni juu yangu na atakeyjitokeza.

Ninawaahidi nitazidi kuandika Articles za mada mbalimbali za kitaaluma na kuelimishana.

Thank you JF.
 
Hata wanawake wa siku hizi hawapendi wanaume waliobize kupitiliza,,,,Halafu unataka msomi mwenzio,,,Good selection.
Wauswahilini wanapita mbali sanaaa
 
Mmh. Sijuagi kwa nini kuna baadhi ya vitu nikivionaga humu kichwa changu kinajaa maswali chungu tele. Ila cha ajabu mwisho wa siku huwa najijibu mwenyewe.

Kila la kheri Mkuu katika kumpata mwenza hasa humu ndani ya jf kama matarajio yako Mkuu.
Ubarikiwe.
 
Hata wanawake wa siku hizi hawapendi wanaume waliobize kupitiliza,,,,Halafu unataka msomi mwenzio,,,Good selection.
Wauswahilini wanapita mbali sanaaa
Kuwa na Diploma napo ni usomi? it's now a Basic for mid-life citizens. Ndio maana nimekuwa clear mkuu, sio kwambanataka msomi. Diploma au degree maana yake mwenzangu naae anaweza kuajirika au kuendesha biashara. Pia sipo busy kama unavyodai, ni vile sioni ulazima wa kuweka details zote hapo kwenye thread, mtu aje PM ndo tuulizane then tuone tunaendeaje.
 
Mmh. Sijuagi kwa nini nimejikuta nawaza ninachokiwaza lol.

Haya Mkuu Kila la kheri Mkuu katika kumpata mwenza hasa humu ndani ya jf kama matarajio yako Mkuu.
Asante kwa maoni mkuu, ila mawazo yako binafsi yasizuie wengine au ndo uyafanye judgement. Uko huru kuwaza. Thank you
 
dah Kweli dunia Inaenda kasi sikuizi uchumba masharti Kama Matangazo ya kazi Kwahiyo hapa tulioshia darasa la sita B hatuhusiki.
dah ila elimu si kitu hasa hasa kama umesoma hii ya tanzania ya kucopy na kupest hakuna anayeelewa......wenye akili timamu huwa wanaoa mke ambye atlest anajua kusoma,kuandika na kuhesabu ili aweze hata kumfungulia kabiashara lakini kuoa mke msomi ni DUNDERHEAD!!!!!
 
Wana JF, natumaini mko salama.

Kwa heshima zote, naandika from my Heart. JF ni platform inayowakutanisha watanzania wote, ni matumaini yangu kumpata ninayemtafuta kama jinsi nyinyi ambavyo mmepata kujifunza mengi kutoka kwenye thread zangu mbalimbali.

Kuanzia June inayoanza kesho, lengo langu kubwa na la pekee ni FAMILIA. Mimi ni mfanyakazi, mazingira ya kazi yananinyima muda wa ku-mingle out. I'm always scheduled, kwa wenye kazi kwenye corporate institutions mtanielewa, japo sio vitengo vyote watu huwa busy.

Naomba kama kuna mwanaJF au ana ndugu/rafiki yake mwenye hitaji kama langu, tuwasiliane. Naomba mfahamu andiko langu ni serious, na pengine kuliko kuni-flag out kama kawaida ya kizazi kipya cha JF, labda muache nafasi kwa mtu mmoja tu, maoni yenu yana yana nafasi kubwa ya kumvunja moyo au kumtia moyo ya kuwasiliana na mimi na hatimae akaitwa Mke wangu.

Niwe clear kwenye jambo moja: Mke wangu mtarajiwa naomba uwe Mkristo, una Diploma au Degree na unaishi Dar es Salaam.

Mambo kama umri, rangi, kabila n.k. ni juu yangu na atakeyjitokeza.

Ninawaahidi nitazidi kuandika Articles za mada mbalimbali za kitaaluma na kuelimishana.

Thank you JF.
Nakuombea Nawafahamu wengi walioko serious na wenye vigezo unavyohitaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom