Natafta mchumba baadae mke

HUNIJUI SIKUJUI

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
1,335
1,509
Dini yoyote , nchi yoyote ile, asiwe mfupi,urefu wa wastani au mrefu zaidi, mzuri wa shape na sura,rangi yoyote, mwenye mawazo chanya,elimu walau darasa la saba, umri asizidi miaka 28

Juu yangu:
Mrefu, mweupe,mjasiriamali,degree chuo kikuu, mchaga, miaka 28, mkristo

Karibu pm
 
Hilo jina linaweza kukukosesha mke

Ila nikutakie kila La kheri.

Hunijui~sikujui
 
Ww sema unataka papuchi ukule hakuna cha ndoa hapo nan kakwambia vijana cku iz tunaoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom