Mmmh mpaka wa miaka 20 mpo humu!?? Eeh mungu turehemu
Dogo soma kwanza wanawake wapo tu,Ni muda mrefu sasa nmekuwa mpweke sabu ya kuwa single so nahitaji mdada wa kunitoa upweke akiwa mwanachuo ni fresh tu umri wangu miaka 20
hahahaaAcha ushamba dogo sasa umemwekea nani namba hapo? Huko unakoishi hakuna wanawake wakukutoa upweke?
Baka basi uende jela kabisa.