JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,227
- 5,269
Habari WanaJF,
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu tabia ya baadhi ya wanachama kufanya mzaha kwa watu wanaotafuta wenza wa maisha kwenye jukwaa hili la LOVE CONNECT.
Tunashauri Jukwaa hili litumiwe kwa malengo kusudiwa. Mtu mzima hapangwi.
Kwa wanaotafuta wenza, tunawakumbusha kuzingatia dondoo zifuatazo;
Dondoo za kuzingatia kabla hujatuma ombi la kutafuta mwenza:

- Eleza sifa za unayemuhitaji za nje na ndani, zikihusisha vitu kama umri, umbo, dini, upendavyo (walau hints), kazi na hata uraia.
- Hakikisha hizo sifa ulizotaja za unayemuhitaji na wewe pia umeainisha zako.
- Kama mwenye sifa unazohitaji yupo JF, tafadhali mtumie ujumbe binafsi (PM).
- Toa contacts walau e-mail address na sio mawasiliano ya namba za simu.