Mnamo Alhamisi Oktoba 24, 2024 jengo la ghorofa tatu lililokuwa linajengwa kuanguka ghafla, hivyo kuleta hofu kwa wakazi wa Iten, katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet.
Kwa mujibu wa mashuhuda, jengo...
Mahakama Kuu ya Kenya imesitisha mpango wa serikali wa kuipa kampuni ya Adani Energy Solutions Limited kutoka India kandarasi kubwa ya usambazaji wa umeme, kufuatia wasiwasi kuhusu mchakato wa...
Kesi ya kupinga Kuondolewa Madarakani kwa aliyekua Naibu Rais Gachagua inaelekea pazuri na punde mahakama inamrejesha kwenye mamlaka yake ya awali. Asante Katiba.
Mshukiwa mmoja amekatwa na Mkurugenzi wa Jinai (DCI) kuhusiana na mauaji ya Kinyama ya watu watatu wa familia moja, ambao walipatikana wakiwa wameuawa baada ya kutekwa nyara katika mtaa wa...
Mahakama ya Rufani nchini Kenya chini ya jopo la majaji watatu imekataa kuingilia kati mchakato wa kuondolewa madarakani kwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua kupitia ombi la kuzuia mchakato huo...
Ndugu zetu Kenya walipata katiba Mpya mwaka 2010.
1. Haki na wajibu zimeainishwa vyema, kuanzia Preamble mpaka kila ibara (japo by implications wanaruhusu 🌈 maana sheria inasema ndoa Ni...
Wakati jopo la Mawakili wa Gachagua likimtaka Rais Ruto afike Mahakamani yeye Binafsi kutoa ufafanuzi wa mambo kadha wa kadha Rais Ruto amekataa
Ruto amesema kwa mujibu wa Katiba ya Kenya Rais...
Bunge la Kenya limepiga kura ya kuridhia Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais ambapo kwa kura 236 huku kukiwa hakuna iliyoharibika.
Baada ya hatua hiyo, kinachofuata ni Prof. Kindiki kuapishwa...
Kupitia wakili Adrian Kamotho, Rais William Ruto amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya ombi la kusitisha kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua madarakani, akidai kuwa mahakama haina mamlaka ya...
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amedai alikutana na majaribio mawili ya kuuawa kwa njia ya sumu kabla ya kuondolewa katika nafasi ya Naibu Rais na kusema kuwa Rais #WilliamRuto amemsaliti...
Usalama katika makao makuu ya DCI katika Barabara ya Kiambu umeimarishwa huku Naibu Rais aliyetimuliwa Rigathi Gachagua akitarajiwa kujitokeza kuhusiana na madai ya majaribio kadhaa ya kumuua...
Rejeeni hapa kuna link inayowarejesha kwenye fungamano la odinga na ruto achilia mbali wanasiasa wengine hata wale ambao hawajajitqikeza
Ndo maana niliwaambia wananchi wanaweza jiaminisha au...
Idara ya uchunguzi wa makosa ya jinai DCI nchini Kenya imemwagiza naibu Rais Rigathi Gachagua kujiwasilisha katika makao makuu ya idara hiyo jijini Nairobi kuandikisha taarifa kuhusu madai ya...
Naibu Rais aliyeondolewa madarakani, Rigathi Gachagua, amethibitisha kuwa maafisa wake wa usalama waliondolewa alipokuwa amelazwa hospitalini Alhamisi, Oktoba 17.
Akizungumza na vyombo vya habari...
Familia ya Naibu Rais mteule Kenya Profesa Kithure kindiki inao maprofesa watano na madaktari wa falsafa watarajiwa 4!
Wadau hamjamboni nyote? Familia bora kabisa kitaaluma. Niwatakie siku njema.
Baadhi ya Vijana wamezuiliwa kushiriki katika zoezi la uajiri katika Shirika la Vijana la Serikali la National Youth Service (NYS) kwa sababu ya kuwa na michoro kwenye miili yao hata baada ya kuwa...
Mahakama ya Juu nchini Kenya imetoa amri ya kusimamisha kwa muda uamuzi wa Seneti wa kuunga mkono kufukuzwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Jaji E.C. Mwita amechukua hatua hiyo akirejelea masuala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.