Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,026
- 1,621
Baadhi ya Vijana wamezuiliwa kushiriki katika zoezi la uajiri katika Shirika la Vijana la Serikali la National Youth Service (NYS) kwa sababu ya kuwa na michoro kwenye miili yao hata baada ya kuwa na Vigezo vya Kitaaluma na kufaulu mtihani wa Afya ya Mwili
Baadhi ya Vijana walioondolewa kwenye zoezi hilo walihoji uamuzi huo na kuwataka mamlaka kufikiria tena hatua hiyo, ambapo Shirika limeahidi kutoa taarifa mwishoni wa zoezi la Usajili
Kila Mwaka, Vijana takribani 30,000 wanasajiliwa na Shirika hilo na kufundishwa stadi mbalimbali zikiwemo za Kijeshi, Uhandisi, Mitindo na Ubunifu, Uongozi wa biashara, Uendeshaji wa Mitambo, Ujenzi na kujiandaa kwa masuala mengine ya kitaifa kama huduma katika vikosi vya Ulinzi, Ujenzi wa Taifa na kukabiliana na maafa.
...........
Some Kenyan youths have been locked out of the ongoing recruitment into the state youth agency for inscribing tattoos on their bodies.
Even though they met academic qualifications and also passed the physical fitness test to join the National Youth Service (NYS), they were found ineligible because of the body art.
Some of the disqualified youths questioned the decision to lock them out of the exercise simply because of their art and urged the authorities to reconsider the move.
Authorities did not immediately give reasons for the move but they promised to issue a statement at the end of the exercise, local media reported.
The NYS recruitment, which is taking place countrywide, began on Monday, and is seeking to net at least 15,000 recruits
Source: BBC