https://www.youtube.com/live/KpOvDAfGm7o
Bunge la Seneti linaendelea na mjadala unaohusisha tuhuma mbalimbali dhidi ya Naibu Rais Rigathi Gachagua ambapo kuna uwezekano wa kupiga kura leo Oktoba...
MY TAKE; Wakati wenzetu wanazidi kutuacha kwa kuongeza matumizi ya sayansi na technology, "We Africa we over debating"
eliakeem
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyu Shahidi wa kwanza upande wa Bunge la Taifa , Mh Mwenge Mutuse ameshamaliza kesi. Inaonekana alitoa lawama bila kuwa na ushahidi Maalum.
Yani anaulizwa maswali na wakili wa Gachagua...
Afrika ni bara lenye vibweka sana imagine watu wanamchagua mtu kuwa Rais wa nchi halafu yuko bize kuwatafuatia wananchi wake kazi abroad na anafanya hivyo bila hata kuwa na chembe ya aibu.
Kuna...
Mahakama nchini Kenya imehalalisha uagizaji na ukuzaji wa chakula cha GMO, hatua hii ikipuuzia kesi iliyowasilishwa na chama cha mawakili nchini humo.
Katika uamuzi wake Mahakama ya Mazingira...
Christian and Muslim clerics unite in urging Ruto to cancel Adani deals, return to NHIF
Religious leaders under the umbrella of the National Council of Churches of Kenya (NCCK) and Supkem have...
Nauliza tu maana anaonekana ni Kijana mdogo halafu ni Wakili Lakini hajui hata ownership ya Kampuni inavyokuwa
Sijajua atafaidikaje kwa sababu Ushahidi wake mwingi ni kama kategeshewa vile
Au...
Naibu Rais wa Kenya Mr. Gachagua yupo hatarini kupoteza nafasi yake ama kwa kuondolewa kikatiba au kimafia!
Sasa asijichanganye akakubali kwenda ama kutumwa safari kwa kutumia chopa. Mifano hai...
Wakuu,
Leo Ikulu ya Kenya imeandaa iftar sasa kama kawaida hotuba za viongozi, Riggy G baada ya salamu kasema kwanza amefurahi kufika kwenye sherehe ile, yaani iftar kwake ni sherehe tayari...
Consumers and manufacturers will have to wait longer to learn the fate of their electricity bills following the controversial Sh95 billion power transmission deal signed with Adani Energy...
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti ya Infotrack kuhusu wenye nafasi ya Kuwa Naibu Rais baada ya Gachagua kuachia ngazi umetoa Matokeo yafuatayo
1. Prof Kindiki 20%
2. Anne Waigiru 5%
3...
Naibu Rais mh Gachagua amesema endapo Seneti itakubaliana na Bunge juu ya kumuondoa Madarakani basi huenda Leo Ndio Jumapili ya Mwisho yeye kuingia kanisani akiwa Naibu Rais
Gachagua aliwaeleza...
Rais Ruto amelishukuru Kanisa Moja Takatifu la Mitume Katoliki kwa kuwalea Kiroho Wanajeshi wa Kenya
Ruto amesema Kanisa Katoliki ndio mshirika Mkuu wa Serikali wakati wote
Source: Citizen tv...
Hatimaye Rais Ruto amesema ataunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa itakayokuwa na Mawaziri kutoka vyama vyote vya Siasa na Taasisi za Kijamii na Kidini.
---
Ruto To Form Inclusive Govt:
President...
Mchungaji wa Neno Evangelism Centre James Ng'ang'a atupilia mbali pesa zilizokusanywa kama sadaka kutoka kwa waumini wake wakati wa ibada.
Katika video iliyoshirikiwa na Qare Jane kwenye TikTok...
Wajumbe wa Bunge la Seneti wamezuiwa kwa muda kusafiri nje ya nchi ili kuhakikisha Wajumbe wote wanashiriki katika kesi ya kumng'oa Naibu Rais Rigathi Gachagua bila usumbufu wowote. Bunge la...
Wakuu,
Wabunge 281 wapiga kura ya ndio kumuondoa aliyekuwa Naibu Rais Kenya, Rigathi Gachagua madarakani.
~ Waliopiga kura ya hapana - 44
~ Ambao hawakuchagua kokote - 1
Tanzania tutachukua...
Kama mchambuzi wa siasa ndani ya Afrika mashariki unaweza kutoa opinion gani kwa yale yanaoendelea kutokea nchini Kenya?
Willium Ruto ameamua kuwa jeuri na nyang'au na hivyo kuiondoa kenya kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.