Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Nakubaliana na Dr Ruto na hasa ikizingatiwa Elon Musk sasa ni mshauri wa Rais wa Marekani Taifa lenye nguvu kabisa Duniani Ruto amesema dhana ya dunia ni Kijiji siyo ya kufikirika ni jambo...
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Vikosi vya Usalama vimeongezwa maeneo ya Ikulu na Bunge kabla ya Rais William Ruto kutoa hotuba yake leo mchana Novemba 21, 2024 baada ya taarifa za Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo kusambaa...
0 Reactions
2 Replies
727 Views
Miezi 18 tangu kampuni ya Huduma za Intaneti ya Starlink iingie nchini humo, imedaiwa Mitandao ya Simu imeanza kupata changamoto ya ushindani sokoni. Kwa mujibu wa tovuti ya Citizen Digital...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU. Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila...
8 Reactions
176 Replies
12K Views
Kenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Wasomali wamejipanga Kufikia 2050 kenya itakua somalia au itaongozwa na wasomali kwene kila nyanja. Na itadi yao inaongezeka. Wana kauli yao ya kusema: “Nyie kazaneni na siasa sisi tunakazana...
11 Reactions
76 Replies
5K Views
Rais Ruto hatimaye amekubaliana na Kanisa Moja Takatifu La Mitume na kuwaahidi atasahihisha Makosa Yote waliyoorodhesha --- President William Ruto now says he has heard the concerns raised by the...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Haya ni maajabu! 😂 Kutana na wanandoa hawa kutoka Nyeri nchini Kenya, waliojifungua Mtoto wa Kihindi. Mwanamke anamlaumu mume kwa kupenda kutazama filamu za Kihindi, akidai ndio imepelekea...
30 Reactions
92 Replies
4K Views
Nafikiria tu haya matamshi ya Ruto yangekuwa yametolewa na Kiongozi wa Tanzania kwa TEC hali ingekuwa Tete na Chadema wangenunya Kesi Jana Maaskofu wa kanisa Katoliki Kenya walimtaka Ruto na...
1 Reactions
0 Replies
601 Views
Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limeikosoa serikali ya Rais William Ruto kwa kushindwa kutimiza ahadi zake kwa Wakenya na kudumisha utamaduni wa uongo na kutumia mitambo ya Serikali...
1 Reactions
3 Replies
900 Views
Wakimbizi wengi wa kisomali wanabadili dini wakofika kenya.Hii ni kwa sababu serikali ya kenya inaruhusu kila dini tofauti na nchini kwao ambako wanauliwa kisa dini! Wasomali wanasema wamefanya...
10 Reactions
141 Replies
5K Views
Kongamano la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limepinga vikali pendekezo la kuongeza muda wa Urais kutoka miaka 5 hadi 7 wakidai ni pendekezo la kibinafsi kutokana na tamaa ya viongozi wa kisiasa...
1 Reactions
2 Replies
797 Views
Baraza la maaskofu Wakatoliki Kenya kwa kauli moja wamemkemea vikali sana Ruto kwa kile wanachosema ni Utamaduni wa kusema uongo, kunyamazisha wakosoaji, utekaji, kodi zilizopitiliza na ukiukwaji...
1 Reactions
4 Replies
708 Views
Baada KDF kushindwa Congo na wacongo wakaamua kuwaondoa sasa jeshi la polisi la Kenya limeishindwa Haiti kabisa, mitaa haikaliki, shule zinafungwa, hospitali zimejaa wahanga wa vurugu na kuzidiwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Balozi wa Marekani nchini Kenya, Meg Whitman, ametangaza kujiuzulu tarehe 13 Novemba 2024. Kulingana na taarifa aliyoitoa leo amedai kuwa ameshawasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa aliyekuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tanzania tunaweza kuiga hii ni faida ya Katiba Mpya Wanafunzi wa secondary ambao walipata mimba na tarehe za Mitihani zimewakutia hospital basi wanapelekewa Mitihani huko huko hospital na...
0 Reactions
12 Replies
580 Views
Maafisa wa Huduma ya Wanyamapori ya Kenya (KWS) huko Mombasa wamewakamata raia wawili wa Tanzania kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya pembe za ndovu zenye thamani ya Ksh milioni 3.3...
0 Reactions
9 Replies
937 Views
Wakenya watalazimika kulipa zaidi ya KSh 1.7 Bilioni kama faini kwa kuchelewesha kulipa mkopo wa reli ya SGR kutoka kwa Benki ya Exim ya China katika mwaka wa fedha wa 2023/24. Hii ni kutokana na...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
G4S Kenya imetangaza kuwa itapunguza angalau wafanyakazi 400 kufuatia kupungua kwa biashara kunakosababishwa na athari za changamoto ngumu za kiuchumi, hali ambayo imesababisha kupungua kwa mapato...
0 Reactions
2 Replies
612 Views
Back
Top Bottom