Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Kalonzo and Gachagua’s camps are reportedly meeting in secret to devise a formula to defeat Ruto in 2027. For Gachagua, winning a duel with Ruto would be sweet revenge against the President...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
29 people still missing as police deny role in anti-tax bill protest abductions The National Police Service (NPS) has recorded 57 abduction cases since the youth-led demonstrations began on June...
0 Reactions
2 Replies
700 Views
Biashara ya Kenya ndani ya bara la Afrika imeendelea kuimarika, huku ikiongezeka kwa asilimia 26 katika miezi saba ya kwanza ya mwaka 2024 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka uliopita...
1 Reactions
5 Replies
799 Views
Balozi wa Marekani nchini Kenya, Meg Whitman, ameonesha wasiwasi wake kuhusu ripoti iliyotoka hivi karibuni ambayo inaonesha kuwa polisi wa Kenya wanatumia taarifa za watumiaji wa simu ili kuweza...
1 Reactions
3 Replies
567 Views
Duru zinaeleza kuwa aliyekua Naibu Rais wa Kenya amewaelekeza wanasheria wake kufungua kesi Mahakama ya ICC The Hague ili apate haki yake ambavyo ameikosa kwenye Mahakama za Kenya.
2 Reactions
6 Replies
831 Views
Jopo la majaji watatu - Mahakama Kuu nchini Kenya limetoa uamuzi kuwa Naibu Rais (Mteule) Professor Kithure Kindiki kuapishwa baada ya Gachagua kufukuzwa na Seneti. Source: Nation Media...
2 Reactions
7 Replies
803 Views
#BREAKING: Naibu rais mteule wa Kenya, Kindiki Kithure, ataapishwa hapo kesho katika jumba la mikutano la KICC. Ikumbukwe kuwa leo Mahakama Kuu jijini Nairobi ilifutilia mbali agizo la Mahakama...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Profesa Abraham Kithure Kindiki ameapishwa rasmi kuwa Naibu Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Kenya. Kindiki ameapishwa na Msajili wa Mahakama nchini Kenya, Winfrida Mokaya mbele ya Jaji Mkuu Martha...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Home Sweet Home! Thanking God for the gift of my family. The smell of fresh grass, sounds of chirping birds is what a happy family needs. I will remain forever grateful to God, for giving me a...
2 Reactions
4 Replies
976 Views
Imeisha hiyo Tanzania tujipange Sawa Sawa Kukamata fursa za kiuchumi wakati jirani wakiwa wamejikita kwenye siasa za ndani Mahakama yasema Prof Kindiki aapishwe kuwa Naibu Rais badala ya...
2 Reactions
11 Replies
709 Views
Nandi Senator Samson Cherargei: As we talk today, my phone has over 12,000 SMS and close to 20,000 WhatsApp messages, and I have received so many phone calls, Mr. Speaker. Even the email address...
0 Reactions
3 Replies
757 Views
Naibu wa Rais aliyeondolewa Madarakani amekimbilia Mahakama ya Rufaa kupinga Naibu Jaji Mkuu kuteua Majaji watatu wa kusikiliza kesi yake Mahakama kuu...
2 Reactions
2 Replies
712 Views
Im wishing you a wonderful moment at your 63 years birth day
2 Reactions
2 Replies
552 Views
Hii ndio taarifa Njema ya Usiku huu Mlale Unono 😀
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Jaji Bahati Mwamuye alitoa maagizo ya kihafidhina, kusitisha utekelezaji wa makubaliano hayo huku akitaja kuwa mkataba huo umeibua wasiwasi juu ya usiri, ushiriki wa umma, na kufuata katiba...
0 Reactions
2 Replies
673 Views
Dereva Daladala alikaidi Amri ya Polisi ya kumtaka asimame na badala yake akakimbilia Kanisa Moja Takatifu la Mitume na kushuka garini huku akiwaacha abiria na kuingia Kanisani. Polisi nao...
14 Reactions
18 Replies
1K Views
Huku wanasiasa wakisisitiza vijana wajiajiri. Gachagua yupo mahakamani kutetea arudishwe kazini. Maana Mshahara mwezi hapati baada ya kutumiliwa na Seneti
1 Reactions
3 Replies
538 Views
Gachagua amesema hakuna Dhambi yoyote wala ukabila unapoutaja Mlima kwa sababu hata Tanzania kuna Mlima Kilimanjaro Hata mkombozi wa Dunia hii anaitwa " MNAZARETI" Ahsanteni sana 😀😀
5 Reactions
13 Replies
10K Views
In a startling revelation, Deputy President Rigathi Gachagua recently disclosed that his hotel room was bugged during a recent visit to Kisumu, raising concerns about security breaches within the...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Back
Top Bottom