Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Mahakama ya Juu nchini Kenya imetoa amri ya kusimamisha kwa muda uamuzi wa Seneti wa kuunga mkono kufukuzwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Jaji E.C. Mwita amechukua hatua hiyo akirejelea masuala...
5 Reactions
57 Replies
4K Views
Wafanyakazi wote wa Ofisi ya Naibu Rais wa Kenya wamepewa likizo ya lazima kuanzia mchana wa Leo 19/10/2024 === Kwenye taarifa Jumamosi serikali iliamuru jumla ya wafanyakazi 108 katika...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote...
7 Reactions
102 Replies
3K Views
Maafisa wa upelelezi kutoka Makao Makuu ya DCI-Nairobi wamemkamata Daniel Mbugua Njogu, anayejulikana pia kama Dan, katika makazi yake eneo la Kimbo. Njogu (30), anashtakiwa kwa kuwalaghai watu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katikati Hali ya kushangaza, mawakili wa Naibu wa Rais Mh Rigathi Gachagua wamekimbia kwenye bunge la seneti baada ya ombi lao la kuahirisha kikao Cha kumuondoa madarakani Makamu wa Rais mpaka...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
PAMOJA na umahiri wa Maseneta na Mawakili wa Kenya katika kuchambua vifungu Vya Katiba kimoja baada ya kingine ni Wazi kabisa Katiba Mpya ya Kenya inabaki kuwa Bora. Dah hawa Wanasheria ni noma...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Pamoja na kwamba Bunge la Kenya limemuondoa Madarakani Naibu wa Rais aitwaye Gachagua, Na kufikia hata kumpitisha Naibu Mpya aliyeteuliwa na Rais William Ruto, Lakini shughuli yote hiyo imezimwa...
9 Reactions
33 Replies
1K Views
Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amewasilisha ombi la kuzuia Rais William Ruto kuteua mtu atakayejaza nafasi ya Naibu Rais baada ya kuvuliwa madaraka na Bunge la Seneti. Kupitia wanasheria...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Spika wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetangula, ametangaza rasmi Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais kupitia Gazeti la Serikali, licha ya kuwepo kwa amri ya mahakama iliyotolewa ili kusitisha mchakato...
1 Reactions
9 Replies
839 Views
Wadau hamjamboni nyote? Historia imeandikwa nchini Kenya Naam Serikali inakwenda ongozwa na Rais na Naibu Rais ambaye hakuna hata mmoja atokaye kabila kubwa kabisa la Wakikuyu Kawaida Rais...
3 Reactions
13 Replies
745 Views
Rais William Ruto amemchagua Waziri wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki (52), kuwa Naibu Rais mpya baada ya Rigathi Gachagua (59), kuondolewa madarakani Alhamisi usiku. Jina la Kindiki...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Transparency amongst senators showing clearly their position. Hakuna UNAFIKI wala kuonyesha eti kulamba uchafu wa aliyeko madarakani. Nimeipenda kwa kweli. Nasubiri kwa hamu upigaji kura...
16 Reactions
76 Replies
3K Views
KENYA: Daktari Mkuu wa Hospitali ya Karen, Dkt. Dan Gikonyo amesema Mwanasiasa Rigathi Gachagua alifikishwa kituoni hapo akiwa na maumivu ya kifua lakini anaendelea vizuri huku akifanyiw avipimo...
0 Reactions
1 Replies
517 Views
https://www.youtube.com/watch?v=nEuQW0S_9D8 Kesi ya kumng'atua Naibu Rais Rigathi Gachagua inayoendelea kwa sasa mbele ya Seneti imefuatia kupitishwa kwa hoja ya kumwondoa madarakani na Wabunge...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika hali isiyotarajiwa, Naibu wa Kenya Rais Rigathi Gachagua ameripotiwa kuzidiwa na kupelekwa hospitalini zikiwa zimebaki dakika chache kabla ya kutoa ushahidi wake. Wakili wake, Paul Muite...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Naibu Rais wa Kenya aliugua muda mchache kabla yakwenda kwenye baraza la Senate. Lakini pamoja na kuugua wajumbe wa baraza wameamua kupiga kura na kumwondoa bila kumsikiliza. Je, Naibu Rais...
0 Reactions
2 Replies
385 Views
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua ametoa onyo kali kwa Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga ambapo amesema Jumatatu ijayo, tarehe 3 Aprili, itakuwa ya mwisho kuandamana. Gachagua amesema hayo huko...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
The Ministry of Health has announced one more confirmed case of Mpox in the country, taking the total number of cases recorded so far to 14. Health Cabinet Secretary Dr. Deborah Barasa, in a...
0 Reactions
1 Replies
377 Views
Deputy President Rigathi Gachagua has been impeached two years after taking the oath of office. At least 53 out of 66 Senators voted Thursday night to uphold charges levelled against him by the...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Dhambi kubwa ya kwanza na kuapa mbele za Mungu hutoshirikiana na raila odinga Wala handshake yoyote Dhambi ya pili n kutangazia umma wa wakenya huo upuuzi ulifanyika hukoo nyuma hautafanyika...
0 Reactions
4 Replies
333 Views
Back
Top Bottom