Wizara ya afya nchini Kenya imesema ipo mbioni kupambana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana na ambao umeathiri zaidi ya watu 200 katika vijiji vitatu vya jimbo la Kisii eneo la Nyanza Magharibi ya...
Ripoti hii ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu huko nchini Kenya imebaini dosari kubwa za kifedha katika ajenda ya Rais Wiilliam Ruto ya "Hustlers Fund"
Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka wa fedha...
Mwalimu mmoja katika Kaunti ya Nyamira nchini Kenya amelazwa katika hospitali ya Ikonge baada ya kushambuliwa na mwalimu mkuu kwa madai ya kuchelewa kufika shuleni.
Mwalimu huyo wa Sekondari...
Queen Elizabeth II's 1972 Kenya Stopover: A Pivotal Moment in Post-Colonial Diplomacy
Queen Elizabeth II's brief stopover in Kenya during March 1972 represented a critical juncture in...
Rais William Ruto ametangaza kuwa atashirikiana na Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, ili kufanikisha ajenda za maendeleo za serikali.
Akimpokea Raila Odinga katika Ikulu ya Mombasa siku ya...
Hatimae sakata la comedy kati ya wanaume wawili
Halmashauri ya Nairobi
Na kampuni ya umeme ya Kenya
Rais Ruto ameingilia kati na kuaguza umeme urudishwe HALMASHAURI
Na halmashauri ya jiji la...
Hii inaitwa ubaya ubwela
Mwosha. Huoshwa
Yaani
Kampuni ya umeme Kenya inadai HALMASHAURI WAKAKATA UMEME
Nao WANADAIWA KODI na HALMASHAURI mashallah wakamwaga UCHAFU MLANGONI
Hii n ubaya...
WAKUU habarini za jion
Naangalia itv hapa naona habari njema
MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA
Amesema hii nchi...
The difference starts right at Namanga.
Check the trucks at the border. There are no Kenyan Trucks. But TZ Trucks are loaded bringing goods to Kenya and going back empty. 1-0 TZ
TZ Roads are...
Wakuu,
Huko nchini Kenya mambo yameendelea kuwa ya moto.
Hivi karibuni ripoti ya Hazina ya Taifa imeonyesha kuwa kati ya Septemba 1 hadi Desemba 31, 2024, serikali ya Kenya ilikopa jumla ya...
Vyanzo vya taarifa nchini Kenya vinaeleza kuwa Wafula Chebukati yupo mahututi na amelezwa ICU
==
Familia ya Mwenyekiti mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati...
Kwa Sasa Siasa za Tanzania ndio zinatawala ukanda wa Africa mashariki na nchi zote wanaiga CCM
Kenya Sasa kivitendo wako bado na katiba yao ya Zamani
Mlale unono 😄
Wakuu,
Itoshe kusema kwa tabia za kiafrika zinafanana.
Ikulu ya Kenya, Ofisi ya Naibu Rais na Ofisi ya Mkuu wa Baraza la Mawaziri, zimeongezewa KSh5 bilioni (takriban TSh99 bilioni) za ziada kwa...
Niwapongeze sana wapiga kura wote walioshiriki kumkataa huyu bwana uchaguzi wa AU, Wengi walijiaminisha baba anakuwa mwenyekiti Ruto akamwingiza chaka eac wamejipanga na atashinda.
Haha baadhi ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
First Lady Rachel Ruto held a meeting with Dr. Joyce Kithure, spouse of the DP which focused on promoting sustainable school...
Diwani wa Wadi ya Ikanga, Cyrus Kisavi Musyoka, anatarajiwa kufikishwa mahakamani Ijumaa kwa tuhuma za kughushi nyaraka za ununuzi wa gari ili kulaghai Bunge la Kaunti kiasi cha Ksh. 2.2 milioni...
Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, ameaga dunia.
Pia soma: Kenya 2022 - Chebukati asimulia yaliyomkuta kabla ya kutangaza matokeo urais Kenya
Jumatatu, Bw...
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Kenya (KAA) inashughulikia tukio la moto uliotokea kwenye sehemu ya nyasi zinazozunguka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA).
Timu ya pamoja ya...
BREAKING NEWS
Taarifa zilizonifikia muda huu hapa zinaonesha kwamba Sehemu ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya (JKIA) unawaka moto.
Moto unaonekana kutoka upande wa...
Hawa ndiyo watu wanalinganishwa na KDF.
Angalia formations na services za KDF peke yake na uniambie kama Tanzania Army is on the same level.
capabilities my friend.
The Kenya Army is made up of...