Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

https://www.youtube.com/watch?v=J8egAFLzxsA Siku mbili baada ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kutoa rai kwa vijana nchini Kenya kupigania haki zao na utawala bora nchini Kenya, Rais William Ruto...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakazi wenye hasira walivamia chumba cha kuhifadhi maiti na kuchukua mwili wa mwanaharakati Richard Otieno, aliyeuawa Jumamosi usiku, kabla ya kuvamia Kituo cha Polisi cha Elburgon. Otieno...
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Kenya imeanza mazungumzo na Umoja wa falme za kiarabu ( UAE) kwa ajili ya kupata fedha za kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa ( SGR). Kenya imeamua kuigeukia UAE baada ya China iliyokuwa ikitoa...
1 Reactions
10 Replies
741 Views
KENYA: Baadhi ya Wanawake wanaoishi karibu na Kambi ya Mafunzo ya Kijeshi inayoongozwa na Jeshi ls Uingereza ya BATUK wamelalamikia kutelekezwa na Wanajeshi wanaotuhumiwa kuwabaka na kuwaachia...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, Kama ilivyotokea Kinondoni miezi michache nyuma, Wakenya nao wameamua kuchachamaa Soma: Video: Vurugu zazuka Kinondoni baada ya raia kugoma mwenzao kuchukuliwa na Polisi wakihofia...
0 Reactions
1 Replies
462 Views
Familia moja katika eneo la Saika, Nairobi, iko katika majonzi kufuatia mauaji ya kikatili ya mtoto wao, Conrad Nyabuto, mikononi mwa mpenzi wake aliyeachana naye mwezi uliopita. Zaidi ya maumivu...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Kenya imeagiza mitandao yote ya kijamii nchi Kenya kuanzisha ofisi nchini humo. Wizara hiyo imedokeza kuwa ina lengo la kuhakikisha maudhui yanayosambazwa na...
2 Reactions
7 Replies
856 Views
Wakuu, Kiongozi wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, amemtaka Rais William Ruto kujiuzulu kufuatia wimbi la hivi karibuni la utekwaji nyara, likiwemo tukio lililomhusisha Waziri wa Huduma za...
0 Reactions
3 Replies
419 Views
Wakuu, Wakati taifa la Kenya likiwa linazizima kuhusu matukio ya utekaji na mauaji, matukio kama hayo yameendelea kushamiri. Siku ya leo mwili wa mtu mmoja aliyefariki umeonekana ukielea...
0 Reactions
3 Replies
417 Views
Kwa upande wa Tanzania sijui tunatafsiri vipi Demokrasia,kina watu tena viongozi wa siasa mara kadhaa wamesikika wakidhalilisha viongozi Wakuu wa Nchi,kueneza chuki za ubaguzi wa kikabila,Jinsia...
1 Reactions
21 Replies
820 Views
Huku kwetu tunaita wasiojulikana Huko Kenya Leo waziri WA UtuMISHI KENYA amefika polisi kutoka malalamiko ya mwanae kutoweka pasipojulikana Akiongea kwa huzuni amesema. Wiki iliyopita alitoa...
1 Reactions
11 Replies
659 Views
Watu watatu akiwemo dereva bodaboda mmoja na abiria wake na mwalimu, wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na ndege ndogo, tukio lililotokea katika Kijiji cha Kwachocha, Malindi nchini Kenya...
0 Reactions
2 Replies
657 Views
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais wa William Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana. Rais Ruto alimteuwa Novemba 19...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Rais wa Kenya, William Ruto, amesema hana shida na baadhi ya Wakenya wanaomuita "Kasongo," jina la wimbo maarufu, ambalo limekuwa likitumika kama utani kwa baadhi ya watu wanaomwona kama mtu wa...
3 Reactions
5 Replies
909 Views
A Haven of Grace, a Lifeline for a Species: Giraffe Manor’s Story of Hope and Transformation In the heart of Kenya, where acacia trees sway in the golden sunlight and the call of birds mingles...
2 Reactions
5 Replies
649 Views
Ripoti ya usalama wa nchi ya kenya ya mwaka 2024 imeonesha kuwa kuna matukio zaidi ya 7,100 vya ukatili wa kijinsia yaliyorekodiwa tangu Septemba 2023. Miongoni mwa matukio hayo, kesi 100 za...
1 Reactions
2 Replies
417 Views
Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu nchini Kenya imetoa ripoti mpya ambayo inaonesha kuongezeka kwa idadi ya matukio ya utekaji nchini humo dhidi ya wakosoaji wa serikali Kwenye ripoti yao ya...
1 Reactions
2 Replies
638 Views
Jeshi la Polisi limeagizwa kuwaachia huru au kuwafikisha Mahakamani leo Desemba 31, 2024 Watu 6 wanaodaiwa kutekwa na kushikiliwa na Polisi pamoja na Vyombo vingine vya Usalama kinyume na Sheria...
0 Reactions
6 Replies
994 Views
Mchungaji James Ng’ang’a, mwanzilishi wa Neno Evangelism Centre, ameendelea kuzua mjadala kwa hatua yake ya hivi karibuni ambayo imewashangaza wengi. Katika ibada ya hivi karibuni, mhubiri huyo...
3 Reactions
11 Replies
741 Views
Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na "Organized Crime and Corruption Reporting Project" (OCCRP). Nafasi ya kwanza imechukuliwa na rais wa 19 wa...
1 Reactions
8 Replies
978 Views
Back
Top Bottom