Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

My Take: Wale wa Katiba Mpya wanaitwa huku watupe majibu.
1 Reactions
7 Replies
872 Views
Any 5 star hotel of this size (170+ rooms) in Kenya outside Nairobi? Meliá Hotels International results for the first half of 2019 Email Print Friendly Share August 05, 2019 10:02 ET |...
5 Reactions
282 Replies
36K Views
Wakuu, Sakata la kufutwa kwa shirika la USAID limeendelea kusababisha vilio duniani kote na hii ni baada ya hivi karibuni Wakenya takriban 40,000 kutarajiwa kupoteza kazi zao iwapo shirika hilo...
1 Reactions
2 Replies
781 Views
Huyu mtawala wa Kenya amejawa na kiburi sana, anawaambia raia wake hakuna mtu anayeweza kumwambia kitu, yeye ana PhD na hajui hata wengine wamesoma wapi!
2 Reactions
4 Replies
730 Views
Wakuu, Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano, aliyekuwa makamu wa Raiswa Kenya, Rigathi Gachagua amesema kuwa alishapewa Ksh Bilioni 2 na Rais Ruto ili ajiuzulu nafasi yake ya Umakamu...
0 Reactions
6 Replies
791 Views
Kiongozi wa chama cha Thirdway Alliance, Ekuru Aukot, amesema kuwa Kenya inaweza kujitegemea bila msaada kutoka Shirika la Usaidizi la Marekani (USAID) tatizo kubwa limekuwa ni rushwa na matumizi...
0 Reactions
3 Replies
686 Views
Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, amemwandikia barua ya kumtaka Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kutoa maelezo kamili ya kuzuiliwa kwake na sababu za kuorodheshwa kwake kama mtu...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Hili ni bandiko la WITO Serikali za Jamhuri ya Kenya na Jamhuri ya Somalia zote ni huru kuendesha mambo yake ya ndani. Nchi moja kuingia nchi nyingine kwa kisingizio cha tishio la UGAIDI katika...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Well, I thought it was just here on Jamii Forums where we throw banters at each other but I noticed you guys use this statement too much. Here in Kenya 'una roho mbaya' is one of those very deep...
0 Reactions
3 Replies
896 Views
Well, I thought it was just here on Jamii Forums where we throw banters at each other but I noticed you guys use this statement too much. Here in Kenya 'una roho mbaya' is one of those very deep...
1 Reactions
77 Replies
10K Views
Rais wa Kenya William Ruto ametangaza kufanyika kwa mkutano na viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kuhusiana na mgogoro katika eneo la Mashariki mwa DRC, ambao utafanyika...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Tujiulize wa jumbe wa Tume yetu ya Uchaguzi wanapatikana vipi? Wenzetu wapo mbali sana.
0 Reactions
1 Replies
390 Views
Afrika bhana matatizo yake yanafanana sana hawa shilika la umeme la Kenya michongo yao kama TANESCO tu. Wapelelezi kutoka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) wamemkamata mfanyakazi wa...
0 Reactions
1 Replies
474 Views
Sasa Wapemba waishio Kenya wametambuliwa kama kabila rasmi nchini humo Kiongozi wa Wapemba Pwani ya Kenya amesema wamekuwepo Kenya kwa miaka Mingi na waliamua kufanya sensa na kuomba kusajiliwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Swali: Hivi Kenya Wanaweza Kuteleza Mradi gani Kwa mafanikio? -LAPSSET ❌ -Nairobi-Mombasa Expressway ❌ -Nairobi BRT ❌ -Nairobi-Mau Forest Expressway ❌ My Take Tanzania ni tajiri sana aisee...
0 Reactions
4 Replies
449 Views
Wakuu, Jaji Mkuu Martha Koome ameituhumu serikali, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani, kwa kuondoa walinzi wake, hatua ambayo ameielezea kama shambulio dhidi ya Mahakama na ofisi ya Jaji Mkuu...
0 Reactions
13 Replies
785 Views
Polisi nchini Kenya wamemkamata John Kiama Wambua, mwanaume mwenye umri wa miaka 29, aliyekutwa akiwa amebeba mwili wa mke wake aliyekatwa vipande kwenye mkoba wa nyuma. Mke wake, Joy Fridah...
1 Reactions
3 Replies
456 Views
Mwanamke mmoja nchini Kenya Grace Njoki Mulei, mwenye umri wa miaka 61, ameripotiwa kutekwa nyara Alhamisi mchana akiwa katika Hospitali ya Ladnan, Eastleigh, alipokuwa akiendelea na mchakato wa...
0 Reactions
10 Replies
683 Views
Huko Kenya Hali si Hali kwa IGP. Mahakama inataka afike mahakamani akaeleze waliko raia wa Kenya waliotekwa na vinavyodaiwa kuwa vyombo vya usalama. Inaonekana amekua akikwepa kufika mahakamani...
1 Reactions
3 Replies
432 Views
Back
Top Bottom