Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

President William Ruto on Tuesday acknowledged abuses by Kenya's security forces, in the wake of demonstrations against a recent wave of alleged kidnappings that have sparked outrage in the...
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Aliyekuwa Naibu Rais wa Jamhuri ya Kenya Rigathi Gachagua, amesema kuwa kuna kitengo cha siri ambacho kinapanga utekaji nyara wa vijana ambao umekua ukiripotiwa nchini humo, ambapo watu 7 wakiwa...
0 Reactions
3 Replies
640 Views
Kenya nini kinaendelea huko majirani? Caren Atieno Muga, aliyekuwa MCA mteule wa Kaunti ya Kisumu, amekamatwa baada ya kuhusishwa na sakata ya uvunaji na uuzaji wa viungo vya binadamu. Bi. Muga...
0 Reactions
4 Replies
613 Views
Hapo nchi jirani Hali ya Utekaji inatisha Wananchi wamemwambia Ruto awaachilie watoto Wao Lakini Yeye naye ashangaa hii Teka Teka awataka Wananchi wambane IGP kwani katiba inatamka ndiye Mlinzi...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
TATIZO la kwanza dhidi ya amani ya nchi kwa sasa limetajwa kuwa ni uongozi dhaifu, ambao umekuwa ukisababisha kusuasua katika usimamizi wa haki wa sheria za nchi na kuibua ombwe kubwa la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi Kenya will paul ana Alburm ngapi ?
1 Reactions
2 Replies
396 Views
Kinara wa upinzani Raila Odinga amekiri kuwa hajapeana mkono 'handshake' yoyote na rais William Ruto. Katika mahojiano, alisema; "Sijakuwa na handshake yoyote na Ruto kwa sababu hatujakubaliana...
0 Reactions
0 Replies
442 Views
Wadau mbalimbali wa masuala ya Haki za Binadamu wakiwemo Wanasiasa wametoa wito kwa Rais William Ruto kukemea na kukomesha Vitendo vya Utekaji wa Wananchi wengi wakiwa ni wakosoaji wa Serikali...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 39 amefariki Jumatatu asubuhi baada ya kushambuliwa na mbwa wa mwajiri wake, alipokuwa akifanya kazi zake za nyumbani katika eneo la Moriema mjini Malindi...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Serikali ya Kenya nayo imeamua kuinga toka Tanzania, kuwa na mradi wa Rapid Bus Transport(BRT) ijengwe Nairobi Kenya. Mradi wa Kenya inaelekea utakuwa mkali zaidi kwa kuwa na mabasi ya umeme...
3 Reactions
7 Replies
885 Views
Mradii huu unajengwa kutumia loan ya $1 Billion kutoka WB ambapo nusu yake iko Kenya. Tazama video inayoonyesha ujenzi umekamilika hadi mpakani mwa South Sudan...
3 Reactions
10 Replies
876 Views
Kampuni ya Kusambaza Umeme nchini Kenya imetangaza kutokea kwa hitilafu kubwa ya umeme usiku wa kuamkia leo Disemba 18, 2024 iliyosababisha kupotea kwa nguvu ya umeme nchini kote, isipokuwa maeneo...
0 Reactions
2 Replies
448 Views
Askari wawili wa Jeshi la Polisi baada ya kukutwa wakichinja ng’ombe ambaye aliripotiwa kupotea katika Kituo cha Polisi cha Kaptagat. Askari hao, Chrispus Butali na Samwel Mbugua Njuguna...
1 Reactions
0 Replies
737 Views
In a desperate effort to make money, some city women are baring it all in front of cameras as they seek to excite paying audiences. But danger is never too far whenever one deals with strangers...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Hali ya simanzi imetanda katika kijiji kimoja huko Kapsabet kaunti ya Nandi Nchini Kenya baada ya Mwanajeshi wa Kikosi cha Ulinzi cha Kenya (KDF) kumkata sehemu za siri kisha kumuua Kasisi wa...
10 Reactions
43 Replies
4K Views
Kitabu cha kufundishia habari za uislamu cha darasa la pili nchini Kenya imebidi kuondolewa kwenye muhtasari baada ya wazazi kukishtukia kikimtusi Mtume Muhammad s.a.w. Katika kitabu hicho kuna...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Just watched the statehouse summit on corruption and I couldn't have been more disgusted. A whole president complaining about corruption, blaming the Judges and what not that he has done...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Wakuu, Hivi karibuni Rais William Ruto amedokeza kuwa kuwa serikali ya Kenya tayari imelipa Tshs Milioni 500 Kenya iweze kuwa mwenyeji wa tuzo za Grammys mwaka 2027. Akizungumza wakati wa...
0 Reactions
2 Replies
578 Views
Ripoti ya Makadirio ya Ukuaji wa Uchumi ya Benki ya Dunia (WB) imeonesha Uchumi wa Kenya utashuka katika Ukuaji wake kutoka 5.0% ya makadirio ya awali hadi 4.7% ambapo Mafuriko, Maandamano dhidi...
1 Reactions
0 Replies
749 Views
Rais William Ruto leo Jumatatu, Desemba 9 alimtembelea aliyekuwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu katika Kaunti ya Kiambu. Katika andiko la aliyekuwa Msemaji wa Ikulu Kanze...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom