Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Kenya faces economic uncertainty as political impasse drags on By Dominic Omondi Published: Oct 10th 2017 at 23:18, Updated: Oct 10th 2017 at 23:52 Share Tweet NASA principals Moses...
1 Reactions
2 Replies
772 Views
Serikali nchini Kenya imepiga marufuku maandamano katika maeneo ya katikati mwa miji ya Nairobi, Mombasa na Kisumu. Kaimu waziri wa usalama Dkt Fred Matiang'i amesema pia kwamba wanaopanga...
0 Reactions
79 Replies
7K Views
Wanafunzi watano na mlinzi mmoja wameuawa kwa kupigwa risasi Jumamosi ya Leo asubuhi katika Shule ya Sekondari ya mchanganyko ya Lokichogio huko kaunti ya Turkana Akithibitisha tukio hilo...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Bunge la Kenya linafanya mabadiliko ya katiba ili Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee apate ushindi wa kishindo hata kama uchaguzi huo utakuwa na kasoro. Makamu wa Rais Willam Ruto amepanga...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu aliyekuwa mgombea mwenza wa Urais nchini Kenya kupitia muungano wa NASA ameshauriwa aachane na Raila Odinga na badala yake ajiunge na chama Tawala cha Jubilee. Kwa mujibu wa Wazee wa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimevutiwa sana na hii bendera ya ndugu zangu
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakati majirani zetu Kenya wanahangaika na changamoto za kisiasa, Tanzania inajikita kwenye uchumi wa Massa 24. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO)...
25 Reactions
140 Replies
25K Views
Habari wakuu, Hivi kwanini ndugu zetu Wakenya walimkatalia Hayati Mwalimu Nyerere kuunganisha Afrika Mashariki ??? Kikubwa zaidi alikubali kabisa kwa moyo mweupe Uraisi apewe Hayati Mzee Jomo...
7 Reactions
73 Replies
8K Views
Watu wawili wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa baada ya polisi kuwafyatulia risasi waandamanaji waliovamia kituo chao cha kazi huko Bondo. Waandamanaji walijikusanya nje ya kituo cha polisi na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sisi ni ndugu, tupendane jamani. Zaidi tunawaombea mpite kwa amani na upendo katika kipindi hiki kigumi kwenye historia ya Taifa lenu. Kuweni wakweli na msikuze/exaggerate mambo. Mungu...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Kiongozi wa maandamano jijini Nairobi akionyesha waandishi mabango kuonyesha hisia zake. No reforms No erection !!!..
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Kama mapolisi ndio hawa, bora na mimi nipokee bomu la gesi ilmradi tu..... 1academ kesho mnaliamshia wapi nije tukimbie kimbie.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tuliamka mapema nakutinga mitaani[emoji191] kuliamsha dude!!
3 Reactions
51 Replies
9K Views
Hadi saa 3:00 asubuhi waandamanaji walikuwa wamejikusanya eneo la Kondele wakijiandaa kuelekea ofisi za IEBC zilizoko Milimani mjini Kisumu. Nairobi, Kenya. Mapambano yamezuka kati ya polisi na...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Muungano wa Upinzani (NASA) umepanga utakuwa unawapa mikate na soda wafuasi wao kabla ya kuanza maandamano ili kuwafanya wasipore tena vyakula vya wafanyabiashara Hayo yamesemwa na mbunge wa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Serikali nchini Kenya imepiga maarufu maandamano katika maeneo ya katikati mwa miji ya Mombasa, Kisumu na Nairobi. Kaimu Waziri wa Usalama Dkt. Fred Matiang'i amesema pia kwamba wanaopanga...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Tanzania signs oil exploration deal with Uganda THURSDAY OCTOBER 12 2017 A derrick of the Zhongyuan Petroleum Exploration Bureau (ZPEB) of Sinopec drills an oil well in Sudan. Tanzania is...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Nakumbuka wakati kampuni ya Kenya ya Uchumi ilipoanza michakato ya kufunga tawi lake la Tanzania, Wabongo walishabikia sana humu na kuanzisha mada za kuchekelea. Sasa taarifa zinaonyesha makampuni...
2 Reactions
128 Replies
12K Views
Wandugu, Hii taarifa ya Raila Odinga kususia uchaguzi wa marudio Kenya unaotarajiwa kufanyika October 26 si habari njema kwa wakenya. Ikumbukwe kuwa Rails na wenzake was NASA hawawezi kususia...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom