Shilingi ya Kenya imeendelea kuporomoka

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Thamani ya shilingi ya Kenya yapungua mno dhidi ya dola ya Marekani ikionekana kuathiriwa na kesi inayopinga ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa marudio Oktoba 26.

Screenshot from 2017-11-16 13-35-52.png
 
Lakini kwa tsh vs ksh ya tz imezidi kudorora in 3013/14 ilikua 1 ksh = 18 tsh sahii 1ksh = 21tsh.


Alafu ukilinganisha na dollar mwish wa 2016

Dec 2016 1USD = 100.67ksh
Now this month 1USD =104ksh



Meanwhile
End of 2016: 1USD = 2140 Tsh
Right now 1ISD = 2241 TSH
 
Back
Top Bottom