Idadi ya wtu waliofariki baada ya jengo la ghorofa nne kuanguka huko Kisii imefikia 7, huku majeruhi 22 wakipelekwa hospitali na wawili wana hali mbaya
Pia imebainika mkandarasi na mmiliki wa...
Serikali imepiga marufuku maandamno katikati ya miji ya Nairobi,Mombasa na Kisumu
Waziri wa mambo ya ndani Fred Matiang'i amesema marufuku hiyo inalenga kuwalinda Wakenya na mali zao
Matiang'i...
Uhuru Kenyatta amesema anakusudia kukata rufaa maamuzi ya Mahakama Kuu ya kumjumuisha Ekuro Aukot katika kinyang’anyiro cha Urais katika uchaguzi wa marudio.
Kupitia kwa Mwanasheria wake Tom...
A KENYA AIRWAYS PLANE AT THE JOMO KENYATTA INTERNATIONAL AIRPORT (JKIA) IN NAIROBI. FILE PHOTO | NMG
Kenya Airways (KQ) has been feted as Africa’s leading airline at the 24th Annual World Travel...
THURSDAY OCTOBER 12 2017
The Kenyan government has banned opposition demonstrations against the electoral commission in three major cities citing lawlessness.
The National Super Alliance (Nasa)...
Waziri wa Usalama wa ndani wa Kenya Mh Freddy Matiang amepiga marufuku wapinzani kuandamana kuhusu marudio ya uchaguzi katika miji tatu nchini Kenya, zuio hilo ni hatua ya kuokoa uchumi wa kenya...
Royal Media Services Managing Director Wachira Waruru (Right) at the Kensington Palace in London
Kenya’s leading television station, Citizen TV, was on Wednesday night feted at the fourth edition...
Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kwamba mgombea urais wa chama cha Thirdway Alliance Ekuru Aukot ashiriki kwenye uchaguzi wa marudio wa tarehe 26 mwezi huu.
Aukot alikuwa ameshiriki uchaguzi...
File photos of Starehe MP Charles Njagua and Embakasi East's Babu Owino.
Legislators Charles Njagua and Babu Owino fought at Parliament's media centre on Tuesday, forcing watchmen to intervene...
Kenya is once again on the global arena after the popular Maasai Mara National Reserve was voted Africa’s leading national park at the World Travel Awards 2017.
The Mara overcame fierce...
Tanzania high speed railway a major boon for Turkish engineers
Posted on October 11, 2017 by James Baraza
At least 1000 Turkish engineers will work on the project. Photo: CourtesyTurkish...
Tourists at the Masaai Mara National Reserve. FILE PHOTO | NMG
Kenya is once again on the global arena after the popular Maasai Mara National Reserve was voted Africa’s leading national park at...
Its Mount Kilimanjaro again, named the best attraction in Africa.
The World Travel Awards serves to acknowledge, reward and celebrate excellence across all sectors of the global travel and...
Bunge la Kenya likiongozwa na wabunge wa chama tawala cha Jubilee limepitisha muswada unaohusu kubadilishwa kwa sheria za uchaguzi uliozua gumzo
Mabadiliko saba yaliwekwa kwenye muswada huo na...
KQ bado iko taabani na madeni, lakini hata hivyo, quality ya service haijawahi pungua, najua kuna watu waiombea kampuni ya KQ ianguke (wapigwe mradi waanguke kama nzi) lakini nawaombea maisha...
Polisi nchini Kenya wamerusha mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya wafuasi wa muungano wa upinzani National Super Alliance ambao wamekuwa wakiandamana mjini Kisumu, magharibi mwa nchi hiyo...
Work on Sh78bn Kenya-Tanzania highway to begin late 2018
AfDB seeks partner for Malindi-Bagamoyo highway - CCE l ONLINE NEWS
AfDB Chief Regional Program Officer Lawson Zankli told news outlet...
Nairobi, Kenya. Mahakama Kuu ya Kenya imeiamuru Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kumjumuisha mgombea urais kwa muungano wa Thirdway Alliance, Ekuru Aukot katika uchaguzi wa marudio wa Oktoba...
So far mahakama ya juu nchini Kenya imeshasema kuwa Uchaguzi haukufuata taratibu...na uchaguzi huo ulisimamiwa na IEBC.
sasa tunasikia kuwa IEBC ile ile iliyovurunda ndio inapewa mamlaka yaleyale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.