Kenya wamesema mahindi kutoka nje' Big No'

KIMIYAKIMIYA

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
230
309
Mjadala mkali ulivuma wavuja jasho wa Tanzania wakiomba wakubwa waruhusu mahindi yauzwe nje lengo nono ikiwa Kenya, Sitaki nataka mwishowe wamekubali. Sasa kumbe Kenya wao njaa walishaizoea wamesema hawataki punje ya mhindi iingizwe nchini kwao kwakuwa wamejipanga kusaidia wakulima wao ili taifa lao lijitosholeze, but eti eti wana deficit kubwa ya hiyo nafaka.

My concern naomba mnijuze kosa ni wakubwa zetu kuchelewa ku take advantage ya soko ama ni muendelezo wa figisufigisu za vifaranga choma na Ng'ombe uza?
 
Ndio tatizo la kuleta siasa/visasi ndio matokeo yake hayo kwenye maisha ya Watu.
 
Kenya ni soko lakini sio soko pekee la mahindi. Mahindi yanatumika kwenye bidhaa zingine nyingi kuliko ugali tu. Masoko yapo mengi duniani.
 
suala LA chakula liko sensitive sana, serikali ilizuia uuzaji wa mahindi nje ili kuepuka kutengeneza deficit ambayo ingepelekea kupanda kwa mahindi kusiko kawaida, baada ya kujiridhisha ndio imetoa kibali cha kuuza nje.

Hata Kenya wakisusia mahindi toka Tanzania bado kuna nchi nyingi zenye uhitaji, waacheni wafanye yao ni dhahiri kwa sasa uhusiano wa Tz na Kenya si mzuri.

waacheni wafe na njaa na siasa zao eti wanawawezesha wakulima wao.
 
Unaongea kiurahisi rahisi sana eti kuzuia deficit?!kwaiyo unataka kuniambia serikali haina mpango wowote wa distribution ya nafaka hapa nchini? kwa sababu km ni kujiridhisha ilibidi wapate takwimu kutoka kwa wizara au wakala/kitengo kinachohusika na uratibu wa uzalishaji na usambazahi wa nafaka. Ni lazima tuelewe kuwa wakulima especially wa mahindi wameumizwa sana na zuio la kuuza nje, sijawahi kusikia waziri au mkuu wa nchi akilazimisha mbolea na pembejeo zingine kushuka, hivyo basi ni halali kabisa biashara hiyo kuwa huria coz huwezi kuzuia upande mmoja au mwingine unauacha free, otherwise utendaji ubakie kuwa utendaji na siasa ziwe siasa vinginevyo kuna watu wanaumizwa na matamko ya kisiasa
 
suala LA chakula liko sensitive sana, serikali ilizuia uuzaji wa mahindi nje ili kuepuka kutengeneza deficit ambayo ingepelekea kupanda kwa mahindi kusiko kawaida, baada ya kujiridhisha ndio imetoa kibali cha kuuza nje.

Hata Kenya wakisusia mahindi toka Tanzania bado kuna nchi nyingi zenye uhitaji, waacheni wafanye yao ni dhahiri kwa sasa uhusiano wa Tz na Kenya si mzuri.

waacheni wafe na njaa na siasa zao eti wanawawezesha wakulima wao.
Tungechukulia suala la uzalishaji nafaka km advantage na kuweka nguvu nyingi katka kutafuta masoko ingesaidia zaidi kuliko kuweka zuio, au serikali inapoweka zuio ihakikishe inanunua izo nafaka kwa bei ambayo ni above costs za uzalishaji, otherwise ni kuwaumiza wakulima
 
Back
Top Bottom