Haya sasa Wazungu wenu wameanza kuongea, kwa mujibu wa Muzungus Amnesty international, Askari wa Kenya wameua zaidi ya raia 30 wasio na hatia, kazi kwenu anzeni kufunga mkanda kabisa for a rough...
Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wake William Ruto wamesema hawarafanya mazungumo na upinzani wamesema hawatafanya mazungumzo na Upinzani na uchaguzi lazima ufanyike tarehe 26 Oktoba na wapo tayari...
Ni kweli kabisa kwamba inawezekana Rais Uhuru Kenyatta na ambaye pia ni Mgombea Urais kupitia tiketi ya Jubilee tukamlaumu kwa mambo ambayo yanaendelea sasa nchini Kenya hasa katika kuelekea...
Bada ya Mahakama ya juu nchini Kenya kufuta matokeo ya uchaguzi wa awali wengi tulisifia uthubutu wa Majaji na uvumilivu wa Serikali iliyoko madarakani kuonesha ukomavu wa kisiasa na kidemokrasia...
Let me start by saying this; Shame on African Presidents trying to make their states which belongs to Wananchi as their family homes. Look at M-7(Uganda), look at Uhuru Kenyata(Kenya); look at...
Jimmy Wanjigi alikuwa rafiki mkuu wa yule Jambazi Marehemu Jacob Juma. Kwa wale ambao hawajui, Jimmy Wanjigi alikuwa insider katika serikali ya Mwai Kibaki, na anasemekana alikuwa initiator wa ule...
While RAO a true stateman declares 26th being a day of countrywide demonstratoons. Uhuru is being secretly flown to India on undisclosed illness. I guess He has gone mad n now declaring Sunday a...
In trying to make sure the 26th October election is taking place even after the main rival's withdrawal citing lack of credibility on the team overseeing the electon, the Jubilee led government is...
Na Bashir Yakub.
+255784482959.
1. Tokea mahakama kutengua matokeo ya rais, serikali iliwaondolea ulinzi mara moja jaji mkuu Maraga na makamu wake Philomena Mwiru. Wawili hawa kwasasa wanalindwa...
Sisi CHADEMA tunaamini kabisa Uhuru Kenyata na serikali yake ya JUBILEE ni wanademokrasia kabisa.
Udikteta wa mauaji ya Chriss Msando manager wa ICT wa tume ya Uchaguzi Kenya siku tisa kabla ya...
Kenya’s Internet connectivity ranked below leading economies
By Frankline Sunday
Published: Oct 16th 2017 at 23:33, Updated: Oct 16th 2017 at 23:33
SUMMARY
The study ranked Kenya 11th in...
Kuna magavana wengi wanajulikana kenya nzima kwa sifa mbali mbali,
Lakini kama kuna gavana naeza kiri kumtaka awe gavana wangu, basi huyu jamaa atakua jina la kwanza kwa list... Jamaa anachapa...
Kenya-based coal and commodities trader Riftcot has signed a distribution agreement with Edenville Energy, a coal producer based in southwest Tanzania.
Under the agreement Riftcot will purchase...
Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Roselyn Akombe ajiuzulu, asema tume imegawanyika na inafanya kazi bila kuzingatia utaratibu
Dr. Akombe alituma taarifa kutoka New York alipokuwa akifanya kazi Umoja...
Nairobi’s proposed smart traffic control system will go live in just over two years, officials said of the plan that seeks to ease congestion on key city roads at an estimated cost of Sh1.88...
Rose Akombe ambaye alikuwa mmoja wa watumishi wa tume ya uchaguzi Kenya amejiuzulu rasmi na amekimbilia Marekani na kudai kunauwezekano uchaguzi wa marudio kutofanyika Kenya tarehe 26th October...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.