Nanyuki town imekuwa hot spot leo after hundreds of residents and youth groups took to the streets kupinga plans za serikali za kuweka Ebola quarantine facility ndani ya Laikipia Air Base.
Waandamanaji walitembea katika mji wakibeba placards na chanting slogans, wakisema wana hofu kuwa facility hiyo inaweza kuleta health risks kwa jamii inayozunguka eneo hilo. Wengi walisisitiza kuwa Laikipia si location inayofaa kwa quarantine centre ya ugonjwa hatari kama Ebola.
Maandamano yalichukua another turn when protesters headed towards Laikipia Air Base hoping to deliver their message directly. However, security officers waliweka blockade na kuwazuia kufika kwenye military installation, jambo lililosababisha tense standoff kati ya wananchi na maafisa wa usalama.
Government upande wake inasema facility hiyo ni part of Kenya's disease preparedness strategy na inalenga kusaidia nchi kukabiliana na possible outbreaks kabla hazijasambaa. Lakini wananchi wengi hawajaridhika na explanation hiyo.
Wakazi wanauliza: Why should our community carry the burden and risk? Je, serikali imefanya public participation ya kutosha kabla ya kufanya maamuzi haya?
Wewe unaonaje? Is the Ebola quarantine facility a necessary preparedness measure, ama fears za residents ni valid?
Source: Citizen digital