Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Nawaambia Wananchi wa Kenya, mjindae, mfunge mikanda! Kwa dalili na maneno ninayosakia Mh William Rutto ni wazi kabisa anakuja kufanya kazi, kwanza hataki kabisa siasa za kinafiki, Rutto anakuja...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Kutoka uwanja wa Kasarani Septemba 13, 2022 Rigathi Gachagula - Naibu Rais Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagula amesema kuwa nchi hiyo haitaingilia uhuru wa watu katika kuwasiliana. Amewataka...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Taarifa iliyotolewa na shirika hilo leo Septemba 14, 2022 ilisema abiria huyo alifariki alipokuwa akihudumiwa na wahudumu wa afya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Anachokisahau tu ni kwamba Rais aliyemaliza muda wake ni Mafia hasa na karibia 95% ya System ya Kenya Iko Himayani Kwake. Rais Ruto aangalie sana yasiye Kujitokeza yale ya tarehe 17 Machi, 2021...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
List of the 10 biggest slums in Africa by population 1. Kibera, Kenya [emoji1139]: 700,000 2. Mathare, Kenya [emoji1139]: 500,000 3. Ajegunle, Nigeria [emoji1184]: 500,000 4. Shomolu, Nigeria...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niko nimeudhuria kuapishwa kwa rais wa Kenya hapa kasarani stadium, Ruto inauguration "bas naona nyimbo zinazopigwa ni hzi za kidini zaidi. Mfno Kama huu maarufu Sana eti ombee adui ako aishi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna chemistry kati ya watu hawa wawili?
0 Reactions
0 Replies
606 Views
Muda huu natazama uapisho wa Rais mteule wa Kenya Dkt. William Ruto. Lakini pia kabla ya leo nimefuatilia sana kampeni zake na za mpinzani wake mkuu Mh. Raila Odinga ila katika kampeni zao...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
Akizungumza Jumanne, Septemba 13, Rais Ruto amesema kwa mujibu na ahadi yake ya kuunga mkono Uhuru wa Idara ya Mahakama, ameidhinisha uteuzi wa majaji ambao waliteuliwa na Tume ya Huduma za...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Watz wasiomjua RUTO ni kwamba RUTO ni mtu wa Serikali miaka na miaka. Aliingizwa serikalini na kuwa mbunge na mzee MOI kwa hiyo watanzania msishangae sana. Rais haibuki, Anaandaliwa. Kenya sio...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Najua wanavaa blue lakini kwenye matukio mengi hasa hata ya kutangazwa kwa mshindi wa Urais wa Kenya hapo Bomas, naona askari wengi wamevaa kimbati za jeshi. Je nayo ni sehemu ya uniform za jeshi...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Timu ya Mawasialiano ya Rais Mteule imezuia vyombo vya habari vya nchini humo kurusha hafla ya kuapishwa kwa William Ruto na kutoa haki za kipekee za utangazaji kwa Multichoice Kenya Ltd. Tangazo...
11 Reactions
54 Replies
5K Views
Wakati tukio la kuapishwa kwa Rais Mteule William Ruto likitarajiwa kufanyika leo Septemba 13,2022 kwenye uwanja wa Kasarani, tayari maelefu ya watu wamewasili ndani uwanja huo. William Ruto...
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Ninaangalia matangazo LIVE kupitia luninga za Kenya. Jambo moja ambalo limenishangaza Sana ni kuona msafara wa Rais mteule, William Ruto, ukienda kwenye kiwanja cha Kasarani, ambako ndiyo...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
President Uhuru Kenyatta will be taking home at least Ksh 34.56 million as part of his retirement send-off package after sitting at the helm of the country for 10 years. According to the benefits...
1 Reactions
4 Replies
961 Views
Rais mteule wa Kenya Dr Ruto amesema mara baada ya kuapishwa atashusha Bei ya unga wa ugali kisha Ijumaa atakutana na Rais wa Somalia ili kuiimarisha Biashara ya miraa Source Citizen tv
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Hatimaye Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta amempongeza Rais Mteule William Ruto, baada ya mkutano wao Ikulu. Wawili hao walikutana alasiri ya Jumatatu, Septemba 12, saa chache tu kabla ya hafla ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Raila Says Azimio Gov’t Will Not Ban Mitumba Trade Raila spoke when he met the representatives from Gikomba market on Friday. He said the Azimio government will work hand-in-hand with traders to...
0 Reactions
2 Replies
744 Views
Rais mteule William Ruto saa hii anakutana na Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta na Ikulu, Nairobi. Ruto ameandamana na Mkewe Rais mteule Rachel Ruto. Ripoti zilionyesha kuwa viongozi hao wawili...
0 Reactions
1 Replies
903 Views
Mgombea Mwenza wa Raila Odinga, Martha Karua amegusia uamuzi wa kuhamishia Pingamizi la Urais nchini Tanzania ili kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha ushindi wa Rais Mteule William...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom