Hatimaye Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta amempongeza Rais Mteule William Ruto, baada ya mkutano wao Ikulu.
Wawili hao walikutana alasiri ya Jumatatu, Septemba 12, saa chache tu kabla ya hafla ya...
Raila Says Azimio Gov’t Will Not Ban Mitumba Trade
Raila spoke when he met the representatives from Gikomba market on Friday.
He said the Azimio government will work hand-in-hand with traders to...
Rais mteule William Ruto saa hii anakutana na Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta na Ikulu, Nairobi. Ruto ameandamana na Mkewe Rais mteule Rachel Ruto. Ripoti zilionyesha kuwa viongozi hao wawili...
Mgombea Mwenza wa Raila Odinga, Martha Karua amegusia uamuzi wa kuhamishia Pingamizi la Urais nchini Tanzania ili kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha ushindi wa Rais Mteule William...
Maisha yamepanda, maisha ni magumu na hali ni mbaya sana kwa watawala katika kipindi hiki. Ni vigumu kuwashawishi wapigakura kuwa hali hii nguvu ni kwasababu ya vita ya Ukraine na Russia na sio...
Ruto alimkiri na kumtumaini Mungu hadharani, matokeo yake mwulize Uhuru Kenyata na Raila Odinga.
Magufuli alimkiri pia Mungu mbele ya dunia yote kuwa Mungu atatuponya na corona wala hakuna haja...
Wagonjwa waliopo katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta na vituo vya afya Jijini Nairobi Nchini #Kenya wamekwama kwa siku mbili kutokana na mfumo wa mtandaoni wa Bima ya Afya wa NHIF kukwama kwa...
Katika taarifa ya Ijumaa, Rais anayeondoka alibainisha kuwa kipindi cha maombolezo kitaanza usiku wa kuamkia Ijumaa, Septemba 9, 2022 na kumalizika, machweo, Septemba 12.
Rais Uhuru Kenyatta...
Mgombea mweza wa Urais nchini Kenya, kupitia Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua amemtuhumu Rais Uhuru Kenyatta kumtuma Mshauri wake kumwonya iwapo angeendelea kumuunga mkono Rutto lingempata jambo...
Does this mean William Ruto is absolutely destined to lose the August elections? Historical precedent and the dialectical odds dictate so.
However, as Thomas Kuhn demonstrates in his Structure of...
Sikuzijua hizi siasa za Kenya ila Leo ndio nimezijua
Nadhani hata ile ya Kenyatta kumsapoti Raila ilikuwa ni strategy tu kusiwe na malalamiko mengi baada ya Ruto kuwa raisi.... Mpango ulishasukwa...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa Tangazo kwamba, tarehe 27-04-2022 Kuanzia mda wa saa nne Asubuhi litaanza MAJARIBIO ya TRENI ya Umeme nchini Tanzania kwa Kipande Cha Kwanza (Dar-Moro)...
Wakuu mambo ni live TV za Kenya, Portal ya IEBC Jamaa wa Venezuela walimbeba Ruto
Potal inafunguliwa Live mahakamani ni total forgery uchaguzi wa kenya
Fomu 34A ambazo zimekuwa uploaded ndani ya...
Rais-Mteule Ruto amewaambia Wabunge wa Kenya Kwanza japokuwa watakuwa na uwiano mzuri bungeni wasichukulie jambo hilo kimchezo mchezo badala yake wanatakiwa kuwa makini sana.
Aliongeza kuwa...
News
Construction begins on huge chemical plant in Tanzania
By
cce news
-
April 25, 2018
0
98
Construction of what government officials say is one of the largest chemical plants in Africa...
President Kenyatta: I Will Hand Over Power Smiling, But Raila Is My Leader
President Uhuru Kenyatta now says that he will gleefully hand over the reins to president-elect William Ruto on...
Rais mteule wa Kenya, William Ruto ameweka wazi kuwa hajazungumza na Rais Uhuru Kenyatta kwa miezi sasa huku akiahidi kuwa atampigia simu kuzungumza naye.
Ruto amesema hayo muda mfupi baada ya...
Mambo yanaenda....
The construction of the Dongo-Kundu bitch in Mombasa
TWITTER
ALI MANZU
Mombasa residents are now counting months to the completion of a Ksh22 billion project that took off in...
Mzuka wanajamvi!
Wakenya bana sometimes wanachekeshaga Sana. Kuna Jaji mmoja kati ya wale saba anaitwa Smokin Wanjala unajiuliza what's this? Hata kama kuiga huku ni kuvuka mpaka.
Afadhali bongo...
Nilikuwa nafatilia hotuba ya Rais wetu mteule Dkt. William Ruto ambapo pamoja na mambo mengi aliyoyaongea na kuaddress watu wetu wa Kenya nilivutiwa sana na hotuba yake na nini atawafanyia Wakenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.