Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Familia moja katika kaunti ya Kisii imeitaka serikali kuwasaidia kurudisha mwili wa binti yao kwa mazishi baada ya kufariki Saudi Arabia. Naomi Barongo alifariki miezi miwili iliyopita katika...
0 Reactions
3 Replies
705 Views
Rais Ruto wa Kenya amesema hatoendelea kutoa ruzuku ya unga na badala yake atasaidia wakulima wadogo na wakubwa kufanya uzalishaji ambao utapunguza bei ya bidhaa hizo. Bei ya unga nchini Kenya...
1 Reactions
2 Replies
666 Views
Wafanyabiashara wanaojihusisha na uuzaji wa vileo wameitaka Mamlaka ya Kodi (KRA) kusitisha marekebisho ya kodi yaliyopangwa kwaajili ya bidhaa ili kupisha mfumuko wa bei. Wafanyabiashara hao...
1 Reactions
2 Replies
933 Views
Rais William Ruto ameweka wazi kuwa hana mpango wa kufanya kazi na wapinzani wake wa kisiasa ndani ya serikali akisema hatamjumuisha mwanachama yeyote wa upinzani katika utawala wake. Mkuu huyo...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Hello guys, any Kenyan lady interested to have a friend here in Tanzania plz DM, just make sure you are residing in these region Dar, Dodoma or Morogoro so that could be easy for us to meet, I...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Alisema Uhuru, huyu anayejiita Hustler na apewe kama miezi mitatu tu, mambo atayakoroga. Huyu bwana aliahidi mbingu huko Kenya lakini tayari kwa mwendo huu kumekucha: 1. Ruto anaondoa ruzuku...
11 Reactions
80 Replies
7K Views
Kiongozi huyo wa chama cha muungano cha Azimio la Umoja One Kenya, anadai kwamba hatua ya hivi karibuni ya Rais William Ruto ya kuwateua majaji sita ambao walikataliwa na mtangulizi wake Uhuru...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakenya watalazimika kulipa pesa zaidi kutoka mifukoni mwao ili kukidhi ongezeko la gharama ya umeme. Hii ni baada ya kampuni ya Kenya Power kuanza kutekeleza ongezeko la asilimia 21 ya malipo ya...
4 Reactions
12 Replies
987 Views
Ndiritu Muriithi, Gavana wa zamani wa Kaunti ya Laikipia anaweza kupata adhabu ya kifungo cha hadi miezi 6 jela pamoja na wenzake 13 waliokuwa wafanyakazi wa Tume ya Utumishi wa kaunti hiyo kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mgombea wa Urais Nchini Kenya, William Ruto ameahidi kuwafukuza Wachina wote wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na wazawa, iwapo atashinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, 2022...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Hilo ndio swali huwa najiuliza maana mda mwingi wana entertain mambo ya dini ya kikristo na kuwatenga Waislamu. Kwa nini iko hivyo? Kama Wajaluo wamepigwa chini Urais, kwa Waislamu si ndiyo...
10 Reactions
115 Replies
8K Views
Kenya ni taifa katika mazingira halisi tuliyomo sisi. Hata hivyo taifa hili limepiga hatua kubwa sana kidemokrasia zenye kustahili kupigiwa mfano. Hizi tantarira za eti kuwa IEBC ni sawa tu na...
5 Reactions
7 Replies
946 Views
Japo sikukupigia kura, na binafsi haujanishawishi ila Wakenya walio wengi walifaulu kukuchagua, inabidi tukubali maamuzi ya wengi ila tulio wachache tusiklizwe pia. Nakumbuka kitambo nikiwa...
15 Reactions
51 Replies
4K Views
Big up kwa Kenya kuwa na Demokrasia kiwango cha juu kuzidi Tz lakini linapokuja swala la uraisi kuna utofauti mdogo sana kati ya Tz na Kenya . Kiti cha urais kina mamlaka makubwa sana, hii ni...
3 Reactions
8 Replies
873 Views
no Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
6 Replies
760 Views
Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya Raila Odinga amerejea nchini humo akitokea Zanzibar Raila amesema hakubaliani na uamuzi wa mahakama kushikilia ushindi wa Ruto na kusema mahakama ilifanya...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
William Ruto rais aliyethibitishwa na mahakama baada ya mpinzani wake kugomea matokeo yuko hatarini kuangushwa kabla hata ya kumaliza kipindi chake cha kwanza. Ameanza na papara huku akijua fika...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Kiongozi wa muungano wa Azimio La Umoja Raila Odinga hatahudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais mteule William Ruto siku ya Jumanne. Katika taarifa yake siku ya Jumatatu, Odinga alikiri kuwa Ruto...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom