Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Ratiba kamili ni hii hapa chini, ikionesha jinsi mtiririko wa matukio ulivyokuwa, kuanzia kupeleka malalamiko mpaka usikilizwaji wa kesi yenyewe. Leo tarehe 30/8/2022 tukio linalofanyika ni...
14 Reactions
376 Replies
23K Views
Kamanda wa Polisi wa Kaunti Ndogo ya Mvita Maxwell Agoro akizungumza na mmoja wa raia 40 wa Jordan waliokamatwa. Picha: Kwa hisani Polisi wa Mombasa Nchini Kenya wanawashikilia watalii 40 raia wa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mfuko wa Hazina umetenga kiasi hicho cha fedha kwaajili ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule inayotarajia kufanyika Jumanne ya Septemba 13, 2022 kwenye uwanja wa Kasarani. Fedha hizo kutoka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MARTHA KARUA: NAHESHIMU MAAMUZI YA MAHAKAMA ILA SIKUBALIANI NAYO Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Azimio la Umoja katika Uchaguzi wa Urais Kenya, Martha Karua amesema anaheshimu maamuzi ya Mahakama...
4 Reactions
227 Replies
16K Views
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetoa mchanganuo wa kina wa hatua ilizoweka ili kuhakikisha kuwa mifumo yake ililindwa dhidi ya wadukuzi na watu ambao hawajaidhinishwa. Katika majibu...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa jins nilivyomuona na kwa muonekana wake na kauli zake tu Ni dhahiri shairi kuwa magufuli mwingine ameonekana Kenya. Siyo kwa kuongea kiswahil chake kama Cha Dr magufuli Hadi kucheka anacheka...
1 Reactions
1 Replies
775 Views
Serikali ya Marekani imetuma ujumbe wa pongezi kwa Rais Mteule wa Kenya, William Ruto baada ya Mahakama ya Upeo kuidhinisha ushindi wake. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken...
1 Reactions
0 Replies
804 Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa Karibu Sana, kipindi chote cha uchaguzi mkuu wa Kenya, sijaona msururu wa walinzi wa viongozi hao, wakilindwa na ulinzi wa kuwalinda viongozi hao, pamoja na uhasama...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kweli kifo cha nyani miti yote huteleza, huyu mwamba ndiyo basi tena kwenye ndoto zake za kuwania Urais japo hatujui ya Mungu mengi. Nchini Kenya mahakama ya juu haifati mkumbo wala power of the...
13 Reactions
51 Replies
6K Views
Kuna wakili wa Odinga anaitwa Julie Soweto, huyu wakili tangia siku ya kwanza ya kesi alikuwa akitoa data za hatari bila woga ambapo kwa mtu wa kawaida ukimsikiliza bila ku fact check madai yake...
6 Reactions
50 Replies
4K Views
Naibu Rais William Ruto anatarajia kuapishwa kuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Juu zaidi wa kuidhinisha ushindi wa uchaguzi huo. Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF, hivi ile support ya Uhuru kwa Raila ni siasa, chenga ya mwili kwa Raila? Kulingana na historia na siasa za Kenya, Uhuru alikuwa tayari Raila kuwa Mjaluo wa kwanza kuingia Ikulu au...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Rais amewahakikishia Wakenya kuwa ataheshimu uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha kuchaguliwa kwa Naibu Wake, William Ruto kuwa Rais Mteule. Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Kenya imesema Rais...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia tiketi ya Azimio La Umoja-One Nchini Kenya, Raila Odinga amesema anaiheshimu Mahakama ya Upeo iliyopitisha maamuzi ya William Ruto kuwa Rais Mteule lakini...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais Mteule wa Kenya, William Ruto amesema watu wengi walijiunga na Umoja wa Azimio kutokana na kupewa vitisho na sio kwa kupenda. Amesema anafahamu hali hiyo iliwafanya wahamie upande mwingine...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
1. Teknolojia iliyotumwa na IEBC kwa uendeshaji wa uchaguzi mkuu wa 2022 iliafiki viwango vya uadilifu, uthibitisho, usalama na uwazi ili kuhakikisha matokeo sahihi na yanayoweza kuthibitishwa...
1 Reactions
0 Replies
741 Views
Baada ya Rais Mteule William Ruto kuzungumza na wanahabari muda mchache uliopita, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) anazungumza na wanahabari muda huu Fuatilia hapa sasa Tume...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naam ile nchi jirani iliyojipambanua kwamba ina majaji wenye akili timamu na judiciary yenye nguvu jumatatu inaweka historia nyingine kwa kuendesha kesi nzito ndani ya siku chache na kutoa maamuzi...
7 Reactions
137 Replies
12K Views
Wakati Mahakama ikitarajiwa kutoa uamuzi wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya, leo Septemba 5, 2022, Rais Mteule William Ruto ameomba utulivu uendelee kwa kuwa yupo tayari kupokea matokeo yoyote...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom