Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Mamlaka ya Mawasiano ya Kenya (CA) imetoa tishio hilo kwa vituo 6 vya runinga kwa kuonesha matangazo ya moja kwa moja ya #Maandamano hayo ya Machi 20, 2023 yaliyolenga kuipinga Serikali...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
VIONGOZI WA UPINZANI WAKAMATWA, RAIA APIGWA RISASI Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo pamoja na Wabunge Amina Mnyazi na Ken Chonga, wanaripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa kushiriki maandamano ya...
8 Reactions
383 Replies
32K Views
Maandalizi kabambe yamepamba moto ili kufanikisha hili tukio la kihistoria, ambapo Mkenya anategemewa kukimbia mbio za masafa marefu kilomita 42 kwa ndani ya masaa mawili, dunia yote inasubiri kwa...
9 Reactions
118 Replies
10K Views
East Africa is rising. There is no doubt that it will be home to Africa’s tallest buildings within the next 5 years. I have compiled a list of East Africa’s buildings over 100m tall either...
2 Reactions
117 Replies
72K Views
Muungano wa Azimo la Umoja nchini, Kenya umemwandikia barua Mkuu wa Jeshi la Polisi la nchi hiyo (IGP), Japhet Koome kumtaarifu kuhusu kufanya maandamano na maombi ya Kitaifa. Barua hiyo...
0 Reactions
2 Replies
609 Views
Hali ilivyo katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Nairobi Nchini Kenya ambayo yameathiriwa na mvua kubwa iliyonyesha leo Machi 23, 2023, baadhi ya maeneo hayo ni Stendi ya Mabasi ya Ngara, barabara...
1 Reactions
1 Replies
629 Views
MY TAKE: Hivi Sasa Kenya imefikia katika hali ngumu Sana ya kiuchumi na kisiasa, watu mbalimbali hutoa main mbalimbali. Naomba tujadili hii kauli ya Eric Omondi, Je yupo sahihi? Wakenya...
0 Reactions
1 Replies
546 Views
Yapo mengi ya kujifunza kwa nguli mpigania haki huyu: 1. Kutambua siasa ni sayansi yenye kubadilika kulingana na mazingira. 2. Hakuna rafiki wala adui wa kudumu bali agenda. 3. Maandamano...
22 Reactions
371 Replies
17K Views
Gavana wa Kenya amewaamuru watendaji wapya wa kaunti kutoa sadaka ya 10% kutoka kwenye mapato yao kwa kanisa. Gavana wa Nandi Stephen Sang alisema agizo hilo linahitajika kwa sababu makanisa ya...
2 Reactions
2 Replies
794 Views
Awake! Awake! All Kenyan, Wakenya wasikubali kuendeshwa na huyo mzee ambaye tayari amekwisha kula chumvi nyingi. Wakenya waamke wasimame imara wasikubali kushawishiwa na kufanya mambo ya kipuuzi...
1 Reactions
5 Replies
581 Views
Toa kipondo cha nguvu kwa hao wenye tamaa ya uongozi. Wengine wafuatwe private home tandika bakora kama maalim seif alivoipata. Nidhamu itakuwepo. Badala ya kuacha watu wafanye kzi wao ni...
1 Reactions
9 Replies
683 Views
"Kwa Miezi hii Mitano tu nimefanikiwa Kupambana na Uchumi wa Kenya kwani Serikali iliyopita imetuachia Deni Kubwa la Urefu wa kutoka hapa Nairobi hadi Johannesburg" amesema Rais wa Kenya Ruto...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, Sasa anaemsukuma huyu Odinga kufanya vurugu zote hizo ni Uhuru kenyatta na ndio mfadhili mkuu wa hiyo migogoro. Kwanza lengo kubwa baadae serikali ya Ruto itumie nguvu ili hata asipotoka...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakenya mnaoandamana kwa vurugu ninyi ni wapumbavu hamstahili kuishi kwenye jamii iliyostaarabika hamuoni uko South Afrika wanaandamana kwa amani? Wanafikisha madai yao bila matata ninyi mnafanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hey fellow East Africans, please remind Raila zodinga, that he is now irrelevant, he should pass on the political wand to a younger generation. His kind of politics reminds me of the long extinct...
0 Reactions
6 Replies
964 Views
Nimeona hii habari kwenye ukurasa wa chombo kimoja cha habari huko Kenya. Kuwa wachambuzi wa masuala ya uchumi na siasa wanahofia Kenya inaweza kukumbwa na kilichoitokea Sri Lanka sababu hali ya...
3 Reactions
6 Replies
976 Views
Maana nchi nzima wanakuta Nairobi Kwa maandamano na wengi wameapa kwenda state house kumtoa Ruto...Je Hali itakuwaje? Au ndio wanacopy ya sirlanka ? Kesho vyombo vya habari vitakuwa live...
2 Reactions
16 Replies
930 Views
MY TAKE; Tony254 Kila tukiwaambia kwamba deni lenu ni kubwa mlikua mkijilinganisha na Japan au USA, Sasa katika orodha ya nchi ambazo zipo kwenye hali mbaya, Japan na USA hazipo. Jambo lingine...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu. Kuna biashara nataka kuitangaza Kenya. Kama mjuavyo, biashara huchangamka watu wanapopata mshahara, hasa serikali inapotoa mshahara. Naomba kujua Kenya wanapokea mshahara tarehe ngapi...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom