Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 63,497 Reaction score 107,323 Apr 9, 2023 #1 Jomo Kenyatta, Rais wa Kwanza wa Kenya Inasemekana hakuwai kuonekena kuhudhuria kanisa lolote au popote katika utawala wake wa miaka 15. Sasa hivi Ikulu ya Kenya imekuwa pango hadi la manabii na mitume matapeli!
Jomo Kenyatta, Rais wa Kwanza wa Kenya Inasemekana hakuwai kuonekena kuhudhuria kanisa lolote au popote katika utawala wake wa miaka 15. Sasa hivi Ikulu ya Kenya imekuwa pango hadi la manabii na mitume matapeli!
Geza Ulole Platinum Member Joined Oct 31, 2009 Posts 76,025 Reaction score 107,520 Apr 9, 2023 #2 Alikuwa mshirikina!
game over JF-Expert Member Joined Jan 1, 2016 Posts 11,298 Reaction score 26,894 Apr 9, 2023 #3 Yoda said: Jomo Kenyatta, Rais wa Kwanza wa Kenya Inasemekana hakuwai kuonekena kuhudhuria kanisa lolote au popote katika utawala wake wa miaka 15. Sasa hivi Ikulu ya Kenya imekuwa pango hadi la manabii na mitume matapeli! Click to expand... Aliabudu waganga wa kienyeji na wachawi, alikuwa ni mchawi.
Yoda said: Jomo Kenyatta, Rais wa Kwanza wa Kenya Inasemekana hakuwai kuonekena kuhudhuria kanisa lolote au popote katika utawala wake wa miaka 15. Sasa hivi Ikulu ya Kenya imekuwa pango hadi la manabii na mitume matapeli! Click to expand... Aliabudu waganga wa kienyeji na wachawi, alikuwa ni mchawi.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,389 Reaction score 22,958 Apr 9, 2023 #4 Angekua mzima ,burning spear angejibu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,066 Reaction score 194,903 Apr 10, 2023 #5 Scotland (Presbyterian)...
ITR JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 7,419 Reaction score 20,164 Apr 10, 2023 #6 Ila Ruto ni mshamba wa Madaraka hana tofauti na jiwe.