Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Nairobi ni jiji kubwa kwa upande wa kenya na ndio jiji lililokuwa linashikilia nafasi ya kwanza katika majiji makubwa afrika mashariki kabla ya jiji la Dar es salaam kufanya revolution na kuwa...
5 Reactions
227 Replies
67K Views
Bunge la Kitaifa la Kenya linahitaji kura za walio wengi kusitisha mafao ya kila mwezi na marupurupu mengine ambayo Rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta anapata kwa kinachoelezwa kuwa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakenya wanatarajiwa kuongezewa bei ya mafuta kwa zaidi ya Ksh.10 iwapo Muswada wa Fedha ya 2023 utapata idhini kutoka bungeni. Muswada huo ambao sasa uko mbele ya Kamati ya Fedha na Mpango wa...
1 Reactions
1 Replies
877 Views
Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki amewasili katika kaunti ya Kilifi kuongoza awamu ya pili ya ufukuaji wa maiti katika shamba la Shakahola. Shughuli hiyo iliyokuwa imesitishwa kwa muda...
1 Reactions
9 Replies
723 Views
Wale wanaosifia uhuru wa mahakama na demokrasia Kenya tunaomba maoni yenu.
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Awuor aliruka na kukimbia katika kituo cha polisi cha Dandora kumshtaki Otieno kwa kukosa kushiba tendo la ndoa Alisemaalimpakulia utamu wa mwili wake kwa masaa mawili baada ya kulipa KSh 4000...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
The 1971 Kenyan Coup Attempt | A Chronicle In June 1971, 13 men were tried and jailed for conspiracy to overthrow the government of Jomo Kenyatta....prosecutor says 12 attempted to enlist aid...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Hazina ya Kitaifa ya chini Kenya kupitia muswada wa Fedha ambao utawasilishwa Bungeni hivi karibuni imependekeza kuwa per diem za wafanyakazi wa Serikali wanazolipwa kwenye vikao na shughuli rasmi...
1 Reactions
1 Replies
850 Views
I came across this video between oginga odinga and the british journalist. communism may be the reason why he was denied a chance to be a president
1 Reactions
2 Replies
754 Views
Hazina inalenga watu wanaopata mapato ya juu, Watumiaji wa M-Pesa na watumiaji wa mafuta kuongeza nyongeza ya Ksh. Bilioni 364 za ushuru katika bajeti mpya kupitia mpango wa ukusanyaji wa mapato...
0 Reactions
2 Replies
750 Views
MY TAKE: Uhai ni muhimu, lakini kwa wakenya "remittances" ni muhimu zaidi kuliko Uhai wao.
0 Reactions
7 Replies
740 Views
Uamuzi huo umefanywa na Upande wa chama hicho unaoongozwa na #KaniniKega baada ya Kikao kilichofanyika leo Mei 2, 2023 na kimemteua Mbunge, Sabina Chege kushika nafasi ya Mwenyekiti mpya. Kwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Chama cha Madaktari, Wafamasia na Wanasheria wa Meno wa Kenya (KMPDU) kimepinga marekebisho yaliyopendekezwa kwa kanuni za Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) yaliyotangazwa na Rais William...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KENYA: Zaidi ya Watu 100 wameondolewa katika kanisa la Mchungaji Ezekiel Odero, la New Life Prayer Centre and Church, baada ya Mchungaji huyo anayedaiwa kuwa Mshirika wa Paul Mackenzie Nthenge...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Raila Odinga ni mpigania haki nguli wa wakati wetu. Amaarufu GOAT, kama alivyotambuliwa Messi Qatar, 2023. Maneno ya Odinga kwa wafuasi wake ni sheria. Leo wako mapumziko, kujipanga na kuja na...
5 Reactions
51 Replies
3K Views
Kiakili ya kawaida haiwezekani watu zaid ya 100 uwashawishi kwa maneno matupu wafunge mpaka kufa hiyo haiwezekani tena ukizingatia uhai ni kitu cha thamani sana ukikipoteza hauwezi kuupa kwa namna...
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Jibril Abduba , ambaye ni dereva wa trela ameeleza Wanahabari kwamba waandamanaji waliomsimamisha barabarani Southern Bypass mapema leo walitaka chakula lakini akawaeleza ni nyaya tu alizokuwa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Mqjiranni zetu wa Kenya kupitia kiongozi wa ODM kuitisha maandamano ya sio na Kikomo kila J. Tatu sio sahihi na Wala haito wasaidia zaidi ya kuteteresha usalama wa nchi na kuporomoa uchumi wenu...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
TV ya NTV imelipoti leo kwamba wanasaka kiongozi wa kanisa moja kutoka Kenya alieshirikiana na mwenzie wa Uganda kurubuni na kupotosha kondo za bwana kuuza mali zao zote kwa matumaini ya kuelekea...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom