Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Kiongozi huyo wa Upinzani unaoongozwa na Muungano wa Azimio la Umoja One, amesema maandamano ya kupinga Utawala wa Rais Ruto na Serikali yake yatafanyika leo Mei 2, 2023 licha ya Polisi kukataa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Zaidi ya watu 100 wamehamishwa kutoka kanisa la Mchungaji Ezekiel Odero, la New Life Prayer Centre and Church, baada ya Mchungaji huyo anayedaiwa kuwa Mshirika wa Paul Mackenzie Nthenge kukamatwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nakumbuka Wakati anayadhibiti maandamano ya UKUTA yaliyopangwa na Chadema Shujaa Magufuli alimwaga askari polisi kila kona Makamanda wa Ufipa st wakasalimu amri Ndivyo imetokea Nairobi leo...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Sisemi mengi video clip ina yote kwa Kiswahili...
5 Reactions
54 Replies
3K Views
Raia wengi wa Kenya hasa wanaofanya kazi kati kati ya Jiji la Nairobi hawajafika mjini kutokana na woga wa vurumai za waandamanaji na mabomu ya machozi. Maafisa wa polisi wameshika doria katika...
1 Reactions
6 Replies
930 Views
Controversial pastor Paul Mackenzie was on Tuesday freed by the Malindi court and then rearrested to face fresh charges in Shanzu High Court. Principal Magistrate Ivy Wasike released Mackenzie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Uchunguzi (autopsy) uliofanywa kwa miili 110 ya waliokuwa waumini wa Kanisa la Good News International la Mchungaji Paul Mackenzie umebaini kuwa, baadhi ya waathiriwa waliuawa kwa njaa na wengine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Polisi wamelazimika kutumia vitoa machozi kutawanya Wabunge wa Upinzani waliowasili nje ya Ofisi ya Rais wakitaka kumkabidhi Rais barua inayodaiwa kueleza kwa kina matakwa ya Muungano wa Azimio...
0 Reactions
8 Replies
760 Views
Hiki ndicho kinachoendelea huko Mathare, Barabara ya Juja Rd muda huu. Ikumbukwe Polisi wamefanikiwa kuwazuia waandamanaji kuingia kati kati ja Jiji lakini Hali ni tete katika maeneo mengi...
0 Reactions
2 Replies
768 Views
Sina nia ya kukebehi imani au dini ya mtu. Lakini lazima itakuwa tumerogwa. Nani AMETUROGA? Hizi imani vipi? Yaliyotokea Kenya, yanatafakarisha. Pastor Mackenzie na Pastor Odero wamewashawishi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kufuatia maandamano ya kizalendo Kenya, serikali ya huko, imeamua kushusha bei za vyakula. Upinzani unataka bei ya unga kwa kilo isizidi 2,000/- za kitanzania, vinginevyo wanarudi Tahrir. Bei...
6 Reactions
162 Replies
8K Views
Rais William Ruto ameapa kutumia nguvu zote alizonazo kuhakikisha maandamano ya Azimio yaliyopangwa kufanyika Jumanne wiki ijayo, hayatazidi kuwa machafuko na ghasia. Hisia za Ruto zinafuatia...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Aisee kwa hizi nyakati Bording School ni bora zikafutwa kila mzazi alee watoto wake mwenyewe, hii ya kutegemea sijui Matron ati ndio akufundishie tabia mtoto ni kujidanganya.Wazazi kila mmoja...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
This weight loss is unprecedented, you might confuse Rutto with Mackenzie cult members who were starving in Shakaloa.
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Polisi nchini Kenya wamemkamata Hellen Wanjiru Weri (62) ambaye anadaiwa kuongoza dhehebu tata nchini humo ambapo anadaiwa kuwashikilia watu 32 kwenye nyumba yake huku wakiwa dhaifu kiafya...
4 Reactions
61 Replies
3K Views
Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga amerejea Nairobi baada ya kumalizika kwa ziara ya kibinafsi huko Dubai. Raila ambaye amepokelewa na aliyekuwa kinara mwenza wake katika Uchaguzi Mkuu uliopita...
3 Reactions
8 Replies
925 Views
This Kenyan girl called Diana Chepkemoi, Meru University student who went to find work in Saudi Arabia. She went healthy, now she is ENSLAVED. See her transformation. Our embassy has her location...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna nchi moja Africa ya Mashariki watu wanajisifu kuwa na akili nyingi na wanajua Kingereza vizuri na ni wazee wa kuchapa kazi sana. Sasa imekuaje mkaingia king kirahisi na kukubali kuuliwa...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
MY TAKE: Hivi karibuni huduma za kupandikiza moyo kuanza, karibuni Sana majirani. Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Huyu nabii ni mkongo mkimbizi yuko huko Iowa katabiri miezi minane imepita
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom