Per Diem za Wafanyakazi wa Serikali kuanza Kukatwa kodi

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
572
2,548
Hazina ya Kitaifa ya chini Kenya kupitia muswada wa Fedha ambao utawasilishwa Bungeni hivi karibuni imependekeza kuwa per diem za wafanyakazi wa Serikali wanazolipwa kwenye vikao na shughuli rasmi za Kiserikali sasa zitaanza kukatwa kodi.

IMG_7065.jpeg


Pia, Muswada huo unatoa pendekezo la kuanzishwa kwa kodi ya zuio kwa Watoa Maudhui mtandaoni.

Hii itahusisha maudhui yote yanayotolewa kwenye tovuti, mitandao ya kijamii pamoja na makubaliano ya utangazaji wa “brands” na bidhaa za makampuni zinazofanyika mtandaoni.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom