Ndugu zetu Kenya mnachokifanya hakina faida kwa Taifa

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,124
7,710
Mqjiranni zetu wa Kenya kupitia kiongozi wa ODM kuitisha maandamano ya sio na Kikomo kila J. Tatu sio sahihi na Wala haito wasaidia zaidi ya kuteteresha usalama wa nchi na kuporomoa uchumi wenu.

Ni kweli maisha ni magumu lakini Ruto haja sababisha ugumu huo, sasa wanasiasa wa ODM wanataka kutumia fursa hiyo kuteteresha Serikali ya wananchi nadhani hiyo sio sawa.

Vurugu za Leo tu zimesababisha hasara kubwa ya uchumi wa Taifa, hii ni hatari zaidi.

Kiongozi wa ODM ndugu Raila anapaswa awe mzalendo kwa Taifa, akamewe kuhamasisha vurugu ama achukuliwe hatua kwa kuhamasisha maandamano ya vurugu.

Demokrasia sio kufanya vurugu Wala kuiba mali za watu, tusisingizie demokrasia.

Kinacho endelea na tulicho kishuhudia kwenye maandamano ni uhalifu mtupu!!!
 
Kila mtu ashinde mechi zake.. Wanaoogopa yanayotokea Kenya ni CCM
naamini hata kiongozi wa upinzani Tanzania Mh. Mbowe hawezi kuhamasisha maandamano ya vurugu kama ya Kenya.
hata watanzania kamwe hatuwezi kufanya huo ujinga ulio jaa uchu na tamaa ya kutaka madarakai.

Watanzania ni wazelendo kwa Taifa lao, tumezaliwa kwenye amani, tumekuwa kwenye amani na pia tutatatua matatizo yetu kwa njia ya amani sio vurugu.
 
Mqjiranni zetu wa Kenya kupitia kiongozi wa ODM kuitisha maandamano ya sio na Kikomo kila J.tatu sio sahihi na Wala haito wasaidia zaidi ya kuteteresha usalama wa nchi na kuporomoa uchumi wenu.

Ni kweli maisha ni magumu lakini Ruto haja sababisha ugumu huo, sasa wanasiasa wa ODM wanataka kutumia fursa hiyo kuteteresha Serikali ya wananchi nadhani hiyo sio sawa.

Vurugu za Leo tu zimesababisha hasara kubwa ya uchumi wa Taifa, hii ni hatari zaidi.

Kiongozi wa ODM ndugu Raila anapaswa awe mzalendo kwa Taifa, akamewe kuhamasisha vurugu.
Uzuri huyo alisha mkataba hata yule mchawi wetu wa taifa 🤔
 
Ushauri kawape ndugu zako wa Lumumba mambo ya Kenya yanakuhusu nini
 
naamini hata kiongozi wa upinzani Tanzania Mh. Mbowe hawezi kuhamasisha maandamano ya vurugu kama ya Kenya.
hata watanzania kamwe hatuwezi kufanya huo ujinga ulio jaa uchu na tamaa ya kutaka madarakai.

Watanzania ni wazelendo kwa Taifa lao, tumezaliwa kwenye amani, tumekuwa kwenye amani na pia tutatatua matatizo yetu kwa njia ya amani sio vurugu.
Waache wakenya wapambane sisi ni ng'ombe hatiwezinkuwaelewa
 
Mara ya mwisho nimesoma humu
Kuna kibaba na ndevu zake kilisema tuige wakenya kwenye maswala ya uhuru sijui demokrasia. Mda mwengine vikizidi vinaleta machafuko. Kila mtu anakua ana hisia zake na anataka alipendalo liwe basi ataamsha wapuuzi wenzie kuchafua hali ya amani.

Unaweza kuta anaechochea hayo yuko zake nje ya nchi katuliza vipira
 
Back
Top Bottom