Ushauri: Nyumba nzuri ni ramani nzuri na ujenzi mzuri

mpenda1961

Senior Member
Apr 2, 2013
123
78
Ili uwe na nyumba nzuri unatakiwa kuwa na ramani iliyodesginiwa vizuri na ya tofauti na kipekee na inabidi isimamiwe vizuri wakati wa ujenzi

kwa ushauri wa maswala ya ujenzi na ramani za nyumba usisite kututafuta.

tunafanya pia landscape design na ujenzi wake.

hapo chini ni baadhi ya kazi tulizowafanyia Wateja wetu

karibuni sana

+255764183123

0717947500
 

Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    83.2 KB · Views: 1,456
  • 3.jpg
    3.jpg
    40.8 KB · Views: 1,123
  • t5.jpg
    t5.jpg
    88 KB · Views: 1,283
  • 6.jpg
    6.jpg
    217.3 KB · Views: 1,709
  • T4.jpg
    T4.jpg
    75.8 KB · Views: 808
Hizo kazi ziko wapi? Should we only take you at your word? Tuone hizo kazi ndipo mjadala uanze!!
 
tupe na gharama , kwa mfano nyumba ya roshen moja inaweza kugarimu sh ngapi
 
Ili uwe na nyumba nzuri unatakiwa kuwa na ramani iliyodesginiwa vizuri na ya tofauti na kipekee na inabidi isimamiwe vizuri wakati wa ujenzi

kwa ushauri wa maswala ya ujenzi na ramani za nyumba usisite kututafuta.

hapo chini ni baadhi ya kazi tulizowafanyia Wateja wetu

karibuni sana

+255764183123
Ingefaa tuone kazi ulizofanya, hii michoro ya 3d presentation.
 
gharama ya nyumba inategemea sana ukubwa wa vyumba, idadi ya vyumba, site yenyewe kama ni flat au sloped site, aina ya ujenzi utakaotumia.

kwa hiyo inategemeana na mambo mengi wakuu

kwenye sloped site gharama ya msingi itakuwa kubwa ambayo itapelekea kubadilisha gharama nzima ya ujenzi

cc Al Bashir
 
ok

baadhi ya kazi site
 

Attachments

  • 20160206_120433.jpg
    20160206_120433.jpg
    238.8 KB · Views: 454
  • 20160206_112616.jpg
    20160206_112616.jpg
    319.1 KB · Views: 496
  • Screenshot_2015-12-26-15-45-12.png
    Screenshot_2015-12-26-15-45-12.png
    107.4 KB · Views: 447
  • IMG-20151228-WA0055.jpg
    IMG-20151228-WA0055.jpg
    100.2 KB · Views: 440
fence plan
 

Attachments

  • IMG-20151217-WA0033.jpg
    IMG-20151217-WA0033.jpg
    36.6 KB · Views: 377
  • IMG-20151217-WA0033.jpg
    IMG-20151217-WA0033.jpg
    36.6 KB · Views: 387
Back
Top Bottom