Vifaa Vya Ujenzi

sanga jr

New Member
Mar 6, 2010
2
0
Wanajamvini... nahitaji kupata building material za finishing kama mabomba na vifaa vya umeme.
Mafundi wote wamenipa list ya vifaa.. naomba mwenye contacts za hardware wanaouza vitu bei nzuri. Site ipo goba.
Msaada tutani tafadhali
 
Back
Top Bottom