Mtaji kiasi gani unatosha kuanzisha biashara ya vifaa vya ujenzi

natra

Member
Sep 27, 2017
12
4
Habari zenu wadau wenzangu...kwa wale wazoefu na wanaojuwa naomba kujuzwa juu ya mtaji kias gani cha chini mtu aweze kufungua super market au hard ware..inahitajika shiling ngap?

.je mtaji mkubwa aandae kiasi gani ukitaka kufungua hard ware au supermarket....asannteni
 
Sijakuelewa mtaji mkubwa kivipi,ata trillion 1.5 unafungua super market.

Anza na chochote ulichonacho,minimum 10mil.
 
Back
Top Bottom