Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Mimi nimejaribu kupita huku na huku Tz hii. Huu utataratibu wa kuweka speakers Asubuhi mpaka jioni ukitangaza kiwanja cha futi 40x50 nimeuona Dar peke yake. Kwa nini nje ya Dar huu utaratibu...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Bashungwa asisitiza TANROADS haiko hoi, miradi 87 yaendelea kutekelezwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) imesaini mikataba 93 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 868.56 kwa ajili ya...
1 Reactions
1 Replies
370 Views
Habari zenu wakuu? Lengo ni kuelishana, kosa ulilolifanya wewe kupitia comment yako huenda likamsaidia mwingine! Mimi kosa kubwa nililolifanya ni kununua eneo sloped, limenipasua kichwa lile...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI ZINGATIENI SHERIA: BALOZI AMOUR Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi, Mhandisi Aisha Amour amewataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuzingatia...
1 Reactions
0 Replies
401 Views
Ni nyumba nzuri zinazoweza kujengwa popote pale, lakini zinapendeza zaidi zikijengwa katika mazingira pembeni mwa Miji bushes.
12 Reactions
77 Replies
3K Views
Sebure+dining ndogo ila effective Open kitchen kibongo bongo inawezekana kweli??😂 Wazee wa nch 75 Kitchen murua kabisa ila kwa ajili ya space kubwa Kitchen outset kwa ajili ya space...
6 Reactions
1 Replies
480 Views
Serikali imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa kuwashirikisha kwenye miradi mkubwa kupitia...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala...
0 Reactions
1 Replies
372 Views
Tafuta uwanja mkubwa sasa: Chumba self Kasebure Vyakutafatana Bachelor anakupa pesa
3 Reactions
1 Replies
734 Views
Nataka kuweka umeme kwenye godown langu la kuhifadhi nafaka. Je wiring ya mwanzo inakimbilia kwenye laki tano au mafundi wananipiga
2 Reactions
7 Replies
675 Views
Wakuu habari Msaada mchanganuo wa Nyumba vyumba viwili sebure,jiko na store Makadilio vifaa mpaka level ya bati itanigalimu shiling ngapi Location Mbeya mjini
2 Reactions
6 Replies
748 Views
BASHUNGWA AMPIGIA SIMU KATIBU MKUU AMTAKA KUPIGA KAMBI MAFIA HADI HUDUMA YA USAFIRI WA KIVUKO ITAKAPOREJEA. “Msitoke Mafia mpaka Kivuko kianze kutoa huduma kwa Wananchi” Waziri wa Ujenzi...
0 Reactions
0 Replies
336 Views
SERIKALI KUUNDA TIMU MAALUM KUSIMAMIA UREJESHAJI HUDUMA ZA USAFIRI WA VIVUKO MAFIA - PWANI Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa...
0 Reactions
1 Replies
269 Views
Habari za muda Huu wapendwa, Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana JF. Kama kichwa kinavyojieleza, nahitaji msaada wenu wa kitaalamu. Nina boma langu ambalo nahitaji kulipaua baada ya kukaa muda mrefu bila paa. Nimejaribu kuhesabu na...
2 Reactions
7 Replies
771 Views
NAIBU WAZIRI KIHENZILE: SERIKALI INALENGA KUBORESHA MIUNDOMBINU YOTE NCHINI Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, amesema lengo la Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia...
0 Reactions
1 Replies
438 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na ukarabati wa miundombinu ya Hospitali ya Wilaya Utete, Rufiji inayogharimu Shilingi Milioni 900 ikiwa ni dhamira ya Serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
380 Views
BASHUNGWA AMBANA MKANDARASI KASI NDOGO UJENZI WA BARABARA YA NYAMWAGE - UTETE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa hajaridhishwa na usimamizi na kasi ya ujenzi wa wa barabara ya Nyamwage - Utete...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
BASHUNGWA AKAGUA NA KUZINDUA MIRADI MKURANGA - PWANI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezindua jengo la utawala katika Shule ya Sekondari ya Mwandege lililojengwa na kukamilika kupitia...
1 Reactions
2 Replies
639 Views
Habari Wakuu, Kama kichwa Cha Habari kinavojieleza. Nataka kuanza ujenzi wa Nyumba huko kwetu uchagani, wazee wa ukoo wamenikalia kooni, hii December nisiende kama hata ka-msingi sijaweka hapo...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom