Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Katika nyumba; 1. Nini kinasababisha kofia za kushuka na zile za kulala kuvuja? 2. Nini suluhisho lake? Kwakweli ukipiga bodi halafu nyumba ikawa inavuja inakera sana.
1 Reactions
4 Replies
515 Views
Unaweza kuongeza vyumba vya kulala vikawa viwili na kufanya mpangilio wa ladha yako. Choo unaweza kukiweka sehemu ya pantry na sehemu ya choo kuwa chumba cha pili.
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Swali kama lilivyo kwenye subject. Hizi zinatengenewza kwa acrylic au fiberglass. Zinakuja vipande vitatu vinaunganishwa kwenye site. Naweza kuzipata wapi Dar?
0 Reactions
0 Replies
524 Views
SMZ IMEDHAMIRIA KUJENGA MAKAAZI BORA KWA WANANCHI-RAIS MWINYI. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuanzia sasa Serikali itawafidia nyumba...
0 Reactions
0 Replies
470 Views
Wakuu nimepata ajira ya kuuza hardware Dar, Kariakoo ila mshahara ni laki 3 kwa mwezi. Nilikuwa naomba kuuliza kwa yeyote mwenye uwelewa na hii kazi ya hardware, huwa ina marupurupu?
1 Reactions
11 Replies
904 Views
Hii ni idea ya ramani ya nyumba. Mdau naomba uipitie utoe maoni yako wapi pa kuboresha. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
551 Views
MBUNGE MAVUNDE AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WAISLAMU MAJENGO KUKAMILISHA UJENZI WA MSIKITI ▪️Achangia saruji tani 10 ▪️Awapongeza waumini kwa kujitolea ujenzi wa msikiti ▪️Aahidi kutafuta wadau wa...
0 Reactions
1 Replies
390 Views
BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUFUNGA MIZANI MITATU YA KUPIMA UZITO WA MAGARI TUNDUMA. 📌 Ashuhudia foleni kubwa ya Malori Tunduma 📌 Atoa mwezi mmoja ujenzi wa kituo cha maegesho Chimbuya...
0 Reactions
3 Replies
508 Views
Natamani sana nyumba yangu iwe na rangi nzuri kwa nje na ndani itakayovutia machoni kwangu na hata kwa mpitaji. Kwa minajiri hiyo naombeni mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka nje ya nyumba...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wanajamvi naomba kujua makadirio ya Skimming hasa bei ya fundi ni sh ngapi kwa nyumba yenye vyumba vitatu, sebule, Dining na jiko.
3 Reactions
20 Replies
7K Views
Msaada wa kimawazo Hivi kati ya Goba na Kigamboni, wapi pazuri kujenga na kuishi. Naomba ushauri wapi kuna maeneo mazuri. 1. Bei za viwanja 2. Huduma za kijamii 3. Usalama 4. Wapi ni potential...
6 Reactions
149 Replies
24K Views
Kama rooms 2 haitazidi 10m Kama rooms 3 haitazidi 15m
1 Reactions
4 Replies
795 Views
Wanavijiji wa Jimbo la Musoma Vijijini wanaendelea kushirikiana vizuri na Serikali yetu kujenga maabara za masomo ya sayansi kwenye sekondari zao za kata. Malengo makuu ya ujenzi huo ni: (i)...
0 Reactions
0 Replies
396 Views
ZAHANATI INAYOJENGWA KIJIJINI NYASAUNGU KUANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA MWEZI DISEMBA 2024 Kijiji cha Nyasaungu chenye vitongoji vitano (5) kinakamilisha ujenzi wa zahanati yake ambayo inatarajiwa...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Kariakoo inaanza kuwa na mwonekano mpya, kila mtaa ukipita unakuta ghorofa limeangushwa linanyanyuliwa lingine, safi sana. Ila mengine bado yapo imara lakini yanabomolewa na kujengwa mapya, wacha...
11 Reactions
43 Replies
5K Views
MITAMBO YA RAIS SAMIA YAREJESHA BWAWA LILILOPOTEA HANDENI Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bwawa la Maji Kwenkambala lililopo Kata ya Kwediyamba, Wilaya ya Handeni...
0 Reactions
7 Replies
523 Views
Salamu kwenu wakuu Wakuu baada ya kuishi mkoani kwa muda, sasa naona ni wakati mzuri wa mimi kuhamia jijini Dar es salaaam kutoka mkoani kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya kulisaka tonge. Ombi...
7 Reactions
61 Replies
3K Views
Wakuu sana ni nini kinafanya watu waezeke nyumba na paa linaenda juu kama piramidi? Kuna faida gani? Standard zinasemaje?
14 Reactions
109 Replies
12K Views
Tafadhali naomba mchango wa mawazo kwa wale wenye uzoefu wa ujenzi wa nyumba za makazi. Ninataka kujenga nyumba ya vyumba vitatu vyenye sitting, dinning, store na kitchen pamoja na public toilets...
0 Reactions
64 Replies
19K Views
Back
Top Bottom