Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

MALIMA AWATAKA WAKADIRIAJI MAJENZI KUJITANGAZA Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima ameitaka Taasisi ya Wakadiriaji Majenzi Tanzania (TIQS) kutokaa kimya bali ijitangaze Serikalini na katika...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
397 Views
Habari Wana Jf Mimi nikijana wa miaka 22 nipo Arusha nimepambana na mtaa nikanunua kiwanja Sasa bado napambana ili niwekee room Moja na choo chandani naombeni mchanganuo wa material na bei. mpaka...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Ujenzi wa kisasa Kwa gharama ndogo kabisaaa!Nimeamua
6 Reactions
4 Replies
623 Views
Mtu anaomba kiwanja cha makazi, wakati huo ni karani wa Masijala, anajitahidi kucheza upatu akiwa mwajiriwa na anafanikiwa kununua kiwanja Boko, Salasala au Bunju miaka hiyooo. Kuongeza kipato...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimetumia materia zote tajwa hapo juu ,linapokuja swala la ukuta kuvamiwa na fungus naona kama chokaa Ina afadhali , ila suala la ukuta kupendeza chokaa inashika nafasi ya mwisho unless upate...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana JF. Leo toka asubuhi home sina umeme. Kwenye mida ya saa tano asubuhi Uemme wa Tanesco ulikuwa unakatika na kurudi baadae main switch ikajizima. Sasa kila nikiiwasha bado inajirudi...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Barabara ya kibada-mwasonga inayoendelea na ujenzi mkandarasi hajaweka barabara ya mchepuo (diversion) kitu kinachopelekea watumishi wanaojenga barabara hiyo kuwazuia watumiaji wa barabara...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
WAZIRI MHAGAMA: HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SASA KUPATIKANA WILAYANI MWANGA Wanachi wa Halmashauri ya Wilya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro sasa kusogezewa huduma za Afya za uchunguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
GEITA YATIKISA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO ● Wananchi wamshukuru Rais , Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza miradi ●Miradi ya maendeleo yatekelezwa kwa asilimia 90 ⚫️ Wilaya...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi za ujenzi wa vyumba vya madarasa, mabweni na mindombinu mingine ya shule ili kuboresha...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Msangani Government katika kata ya Msangani iliyopo Halmashauri ya Mji wa kibaha...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
BILIONI 11.6 KUJENGA KILOMITA 7.5 BARABARA YA LAMI KATA YA USINGE - KALIUA Serikali imetoa Shilingi Bilioni 11.6 kwaajili ya Ujenzi wa Barabara ya kiwango cha lami yenye Kilomita 7.5 inayoendelea...
0 Reactions
0 Replies
412 Views
Wanasema kuzaa si kazi kazi ni kulea, unaposafiri na under teenage unawajibika kuhakikisha usalama wao ikiwezekana una lala nao chumba kimoja.
3 Reactions
1 Replies
499 Views
MBUNGE ALOYCE KWEZI ATOA MILIONI 2 KUJENGA CHOO CHA KISASA SHULE YA MSINGI MWAMANSHIMBA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi tarehe 04 Oktoba, 2024 akiwa kwenye mahafali iliyofanyika...
0 Reactions
10 Replies
756 Views
Serikali imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi ambapo jumla ya...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Habari zenu wanajamvi, kama nilivosema Nahitaji vifaa jenzi used lakini vilivyo katika hali nzuri kama vile bati za migongo mipana, nondo ml.12, gypsum, tofali n.k Kwa bomoa bomoa inayoendelea...
1 Reactions
13 Replies
792 Views
Habari wadau Kama nilivyoeleza hapo juu naomba ushaur juu ya vipimo vizur vya madirisha makubwa yenye kuifanya nyumba iwe na mwonekano mzur yenye kuvutia. Wapo walionishaur niweke ft 5 yaani mita...
0 Reactions
41 Replies
19K Views
KAMPENI YA UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZA KATA ZA MUSOMA VIJIJINI Ukubwa wa Jimbo la Musoma Vijijini Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374 Idadi ya Shule za...
1 Reactions
0 Replies
315 Views
Habari wanaJamiiForums Kwa wale mafundi wa kuchomelea naomba kupata maarifa kayi ya hizi mashine 2 ipi nzuri zaidi kwenye kuchomelea na kwanini na naomba kujua uwezo wake vilevile
1 Reactions
0 Replies
329 Views
Back
Top Bottom