Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Hii nchi imejaa vilaza sana, Leo nimezunguka maduka zaidi ya matano , nahitaji simtank , lakini kabla sijanunua niliwauliza je naweza kupata specifications za matank mliyonayo haswa katika upande...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameshiriki Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo na kuongoza harambee ya kumalizia ujenzi wa jengo la ofisi za Jimbo Katoliki la Bunda ambapo jumla...
2 Reactions
1 Replies
343 Views
Assume 1. kiwanja kipo 2. Bati migongo midogo za rangi. 3. Madirisha.matano ya wastani 4. Vyumba 3 vitatu vya kulala moja master dining na sebule. Karibu kwa ushauri
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Nahitaji kuwa na muhuri wa Architect ambao naumiliki mimi mwenyewe ni hatua zipi nifuate ili niweze kupata Muhuri wa Archotct?
0 Reactions
5 Replies
573 Views
Nilikuwa nazipenda sana nyumba za aina hii hadi nilipojionea kwa ndugu yangu. Nyumba imeezekwa lakini inavunja sana Pembeni mwa mabati. Afanyeje ili isivuje? N.B: Pembeni ukuta umechimbwa ili...
2 Reactions
98 Replies
19K Views
Habari zenu wana jf,kutokana na bomoabomoa zinazoendelea kupisha ujenzi wa barabara nimejikuta naambulia bati na vitu vingine kama milango na madirisha. Ninawaza kutumia bati zilezile pamoja na...
1 Reactions
56 Replies
24K Views
Habari zenu wakuu, nimekabidhi kazi kama inavyoonekana hapo. Ni kabati za jikoni, hapo bado finishing tu ila kazi yangu nimemaliza. Pia napiga plasta, kujenga, na ramani nachora pia kulingana na...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakubwa, Naombeni ushauri wenu kuna hili jambo linanitatiza. Nina FEDHA kiasi cha 25 mill. Lengo langu ni kujenga nyumba - kwa ajili ya kupangisha tu, maana tayari nina makazi ya kuishi. Nawaza...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Natembea kuelekea Buguruni eneo la Binti Madenge. Hapa nakutana na wafanyabiashara wanaouza mbao na wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao ndani ya mapipa. Navutiwa na kazi ile, nikitaka kujua ni...
14 Reactions
117 Replies
12K Views
Nilichimba shimo la choo kipindi cha kiangazi lilikua fresh tu na likafunikwa juu, tatizo imeanza kipindi cha masika maji yanatokea chini na shimo linajaa maji. Wataalam tusaidiane hapo nitumie...
2 Reactions
26 Replies
7K Views
DHAMIRA YA SERIKALI NI KUJENGA BARABARA YA NDALA - MWAWAZA KWA KIWANGO CHA LAMI "Barabara inayotoka Ndala kwenda Mwawaza Manispaa ya Shinyanga palipo na Hospitali ya Rufaa ipo kwenye Ilani ya CCM...
0 Reactions
0 Replies
369 Views
Nyumba ya 9m x 8m. Bati ya migongo mipana, vyumba 2 vya kulala, finishing ya mtanzania wa kawaida inaweza gharimu wastani wa kiasi gani kujenga? Karibuni wakuu, maeneo ni kanda ya ziwa
2 Reactions
3 Replies
740 Views
Wakuu habari zenu na poleni na harakati za kupambana na maisha, Naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu katika sekta ya ujenzi kuhusu mabati ya Kiboko. Jana nimeenda kwa wakala nimekuta yanauzwa...
2 Reactions
17 Replies
15K Views
Tusaidiane faida na changamoto za kuweka milango ya aluminium kwenye nyumba ya kuishi kama mbadala wa milango ya mbao milangoni?
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari members, Naomba kufahamu kias Cha material ya kufunika choo (slab),. Nilishachimba SHIMO la square Kwa vipimo vya futi 5 Kwa 5 na kimo ni futi 12. Hapa naomba kujua nondo ni ngapi, kokoto...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, nina ombi kwa walio na utalamu wa ujenzi, nina ndugu yangu yuko nje ya nchi amejikusanya amepata pesa kiasi anataka kujenga lodge (guest house) ya vyumba 20 vyote self...
4 Reactions
44 Replies
9K Views
SEBASTIAN KAPUFI ATAKA KASI IONGEZEKE UJENZI WA SKIMU YA UMWAGILIAJI MPANDA "Je, Serikali inasema nini kuhusu kasi ndogo ya mradi wa Umwagiliaji Kata ya Mwamkulu Mpanda" - Mhe. Sebastian Simon...
0 Reactions
2 Replies
413 Views
MHE. KATIMBA - SERIKALI ITAENDELEA KUKARABATI SHULE KONGWE Serikali imeendelea kutenga fedha za ukarabati wa shule chakavu nchini zikiwemo shule za msingi katika Vijiji vya Kalundi, Lyapinda na...
0 Reactions
1 Replies
380 Views
Mimi nimejaribu kupita huku na huku Tz hii. Huu utataratibu wa kuweka speakers Asubuhi mpaka jioni ukitangaza kiwanja cha futi 40x50 nimeuona Dar peke yake. Kwa nini nje ya Dar huu utaratibu...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Back
Top Bottom