Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

MHE. KATIMBA: DARAJA LA JANGWANI SULUHISHO LA MAFURIKO DAR ES SALAAM Naibu Waziri OR-TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba ametembelea eneo la Bonde la mto Msimbazi ambalo hivi karibuni Ofisi ya Rais...
0 Reactions
1 Replies
393 Views
Habari wakuu, Nataka nijenge Dar lakini kabla ya hapo nilikuwa nahitaji kufanya survey. Napenda wilaya tatu Kinondoni, Dar na Kigamboni lakini nilivyopitia maeneo mengi ambayo ni mazuri Kawe...
9 Reactions
174 Replies
28K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza z, unaweza kumpata jirani anafuga, inawezekana ikawa kuku, ng’ombe, bata nk. Mifugo inatoa harufu inayoambatana na inzi, harufu inaweza kukukatisha hamu ya...
38 Reactions
138 Replies
6K Views
Habari zenu mabibi na mababu. Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
HALMASHAURI MKIPIMA VIWANJA ‘ROAD RESERVE’ HATULIPI FIDIA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali haitalipa fidia kwa wananchi ambao wamepimiwa viwanja na...
0 Reactions
1 Replies
402 Views
BASHUNGWA AMKABIDHI MKANDARASI UJENZI WA BARABARA KYERWA - OMURUSHAKA (KARAGWE). Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtambulisha kwa Wananchi na kumkabidhi eneo la mradi Mkandarasi Kampuni ya...
1 Reactions
1 Replies
427 Views
Nimekuja hapa mkoani kikazi. Sasa nimefikia kwa rafiki yangu ambaye ana wiki tangu ahamie kwenye nyumba mpya. Sasa nilienda matembezini narudi nakuta chumba kimesafishwa, kitanda kimetandikwa...
14 Reactions
58 Replies
4K Views
Kwa pato la mtanzania kuishi nyumba za kupanga ni kujitengenezea msingi mzuri wa umaskini. Gharama za vifaa vya ujenzi zipo juu ukilinganisha na uhalisia. Tunahitaji viongozi ambao wanaweza...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari za leo wajenzi na wajuzi, ningependa kujua hili katika ujenzi ni cozi ngapi za tofari zinafaa kusimama kabla ya ya rinta je cozi 10 au 11 ipi nzuri hasa kiujenzi. Pia ni size gani ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Huo ufa hapo kwenye dirisha unasababishwa na nini na ni ipi njia sahihi ya kujenga ili kuzuia nyufa za aina hiyo kwenye dirisha
0 Reactions
2 Replies
431 Views
Habar wanajukwaa Jamani kwa mwenye kunisaidia natafuta kiwanja cha kujenga makazi wilaya ya kisarawe mkoani pwani hususa kisarawe penyewe si zaidi ya hapo namaanisha si sehem jirani. Natanguliza...
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Asalam Ailekum wandugu, Nahitaji mtaalam wa kunifanyia makadirio ya ujenzi wa nyumba hususan kupaua kwa kutumia bati. Nyumba ipo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Natanguliza Asante...
18 Reactions
449 Replies
318K Views
Jamani mwanamke asipofanya ngono zaid ya miezi mitattu maumbile yake huwa yanakuwaje wakuu
6 Reactions
24 Replies
924 Views
Wakuu habari ya siku na mihangaiko ya maisha ya Kila siku. Baada ya salamu niende Moja Kwa Moja kwenye lengo langu. Kama kichwa kinavosema ninahitaji ufafanuzi wa hizi kampuni za labor based...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau kuna watu ni wakorofi hasa wakigundua kuwa eneo alilonalo ni dogo hivyo hulazimika kufanya uhuni kama huu. Najua kuna wengi yamewakuta kama haya.
3 Reactions
8 Replies
713 Views
Naomba kusaidiwa Nimejenga water tower yenye height ya mita 3.5 nimeweka tank la lita 5000 inlet line size yake ni robo tatu na outlet line size yake ni inchi moja na nusu, water tap ni 4 za (2 za...
2 Reactions
5 Replies
607 Views
Nataka kununua nyumba hii, mdau kaniambia Milioni 25. Ina yafuatayo √ Ina ukubwa wa SQM 100, + HATI. √ Ni nyumba ya chini, sio ghorofa √ Ina sakafu ya kawaida, haina tiles. √ Ina vyumba viwili...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Naomba msaada wa kunifanyia makadirio ya nyumba ya kisasa yenye bedrooms 3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni. Tukianzia kwenye boma lake itachukua sh ngapi...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Wajumbe wa bodi ya Tanzania Red Cross Society wakiongozwa na Rais wa Chama hicho Mh David Kihenzile wameonesha kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa nyumba 35 katika wilaya ya Hanang, mkoani...
0 Reactions
1 Replies
385 Views
Back
Top Bottom