Utatambuaje mbao zilizo na dawa na zisizo na dawa?

baiser

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
1,456
2,179
Ndugu wana Jf,

Kwa Mtu asiye mtaalamu atatambuaje mbao zilizo na dawa na zisizo na dawa? Na je bei za mbao kwa sasa ulipo ni kiasi gani?
Mfano
2*2
2*3
2*4
Katika kipindi hiki cha mfumuko wa bei.

Screenshot_20220107-210032.jpg

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Najihusisha na hii biashara ya kuuza mbao,,.

Nashauri ukitaka uwe na uhakika zaidi kuwa mbao zako zimepakwa dawa, husitake huuziwe mbao ambazo muuzaji atakwambia tiyari ashakupakia dawa bila wewe kuona.

Nunua mbao, alafu nunua dawa mwenyewe na muuzaji akusaidie tu kukupakia dawa. Hii njia ni ya uhakika zaidi.

Binafsi nafanya biashara hii nikiwa Mwanza, center ya Nsumba.

Bei zangu ni kama ifuatavyo :

-2*2: Tsh 2,500.
-2*3: Tsh 4,500.
-2*4: Tsh 5,500.

MBAO ZANGU NI KUTOKA BUHINDI.
 
Naomba kufahamishwa dawa nzuri kwa kazi hiyo mkuu kama hutojali.
 
Husijali mkuu,,

Dawa ninayoitambua mimi na hiyo ni kutokana na ubora wake (kwa imani yangu binafsi) inaitwa "TASKAN".

-Ni nyeusi kwa rangi(kama ilivyo rangi ya soda ya Mirinda nyeusi.)
-Ni nzito (Maana ya kwamba uzito wake sio sawa na ujazo wa kimiminika cha kawaida. Mfano lita moja hiyo hiyo lkn ukibeba unasikia uzito wa zaidi ya lita moja ya maji.)

-Rangi ni nyeusi lkn ukiitia kwenye mbao haziwi nyeusi. Muonekano wake unaweza kufananishwa kwa ukaribu na ile rangi iliyopo kwenye nguzo za umeme wa Tanesco.
 
Hivi unaweza kupaka hizi dawa mbao zikiwa zimepigwa Kenchi tayari kwa kutumia mabomba kama yale ya kupulizia dawa shambani?
 
Hapana mkuu..

Hii dawa ili iweze kupenya vizuri kwenye ubao, ni lazima ubao ulowekwe kwenye mchanganyiko wa dawa afu utolewe huanikwe mpaka ukauke.
 
Ahsante mkuu, Kwa hiyo mvua ikinyeshea mbao zilipigwa dawa, hiyo dawa hautoki? Nahofia maana mbao zangu nishapiga Kenchi lakini bati bado na mvua ishanyeshea kama mara tatu hivi
 
Hapana haitoki maana ile dawa inapenya kabisa mpaka ndani ya ubao mkuu.

Mfano ni hizi nguzo za umeme wa Tanesco, hata zinyeshewe vipi ile dawa haitoki.
 
Hapana mkuu..

Hii dawa ili iweze kupenya vizuri kwenye ubao, ni lazima ubao ulowekwe kwenye mchanganyiko wa dawa afu utolewe huanikwe mpaka ukauke.
Kulowekwa ni kwa muda gani? Au unachovya na kutoa. Kuna wengine huchovya ila rangi watumiayo ina ukijani hivi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom